Ni kwelikuna vitu baadhi ya watu wanashindwa kuvielewa na kutofautisha, navyo ni regime ya tanzagiza vs nchi na wananchi, hivyo ni vitu viwili tofauti, USA hana tatizo na sisi au nchi yetu bali ana shida na regime ya tanzagiza, i.e regime inapita na itapita soon lkn nchi na wananchi wanabakia, kesho atakuja raisi mwingine na mambo yatarudia kama kawaida.
hiyo tofauti ni muhimu kuielewa kwenye haya mambo ...
Ni kweli
Trump kabakiza miaka miwili tu, yeye na goons wake wote wataondolewa kwenye kila idara na kila ofisi.
Na viza kwa Tanzania na Africa zitafunguliwa tena
Unaongea utumbo kwa hisia zako za kilokole bila kutumia akiliChristian Conservative watatawala USA for the next 20 years kama ulifikiri haya yote ni one man show i.e kwa sababu ya D.Trump umepotea sana, kwanza D.Trump bado ni moderate sana na bado siyo conservative kindaki ndaki ana soft side na ndiyo maana na ugomvi na ma-conservative waliompigania ambao wanataka awe more hard on muslims kwa hali ya kawaida irani wangeshakuwa- nuked tayari …
SI bunge liliazimia kwenda USA kujieleza wasiwwkewe vigingi, umesahau ndg chawa wa kilaza samuya?!Huna hoja unaitikia vichocheo vya mihemko
You are so dumbMy Take
Mods (AI Mods) msibadilishe heading Ili wale vibaraka waisome namba.
Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja.
Hii inakuja siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara Nchini Urusi iliyotikisa Duniani.
Ieleweke kwamba Tanzania ni Nchi ya Kimkakati wataruka na kukanyagana ila lazima waje.
Haya ndio matokeo ya Kishindo Cha Ziara ya Rais Samia Nchini Russia kilivyotokisa Kuta za Mabeberu Hadi wamelegea.
==============
Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya nchi hizo mbili.
Hatua hiyo imebainika katika marekebisho ya Muswada wa S.4577 unaohusu kutathmini upya uhusiano wa Marekani na Tanzania, unaotarajiwa kujadiliwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani Juni 17, 2026.
Mabadiliko makubwa zaidi ni kuondolewa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya Marekani na Tanzania. Rasimu ya kwanza ilitaka msaada wa kiusalama pamoja na fedha za maendeleo vizuiwe, lakini sasa kipengele hicho kimefutwa.
Mbali na kuondoa kipengele cha msaada wa kiusalama, toleo jipya la muswada huo, limeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji wa Marekani kuendelea Tanzania, iwapo hatua hiyo itaonekana kuwa na maslahi kwa taifa hilo.
Muswada huo pia umeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji kuendelea ikiwa itahitajika kwa maslahi ya taifa la Marekani.
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Iwapo utapitishwa na kamati, muswada huo bado utahitaji kupitishwa na Seneti nzima, Baraza la Wawakilishi na hatimaye kutiwa saini na Rais wa Marekani kabla ya kuwa sheria.
Source ITV
Beberu hoi,ona wanavyokori hapa 👇 👇You are so dumb
Kamati ya bunge (sio bunge zima) limependekeza kulegeza vikwazo kwa huruma (compassion) ya raia wa kawaida wanaohitaji chanjo matundu ya choo na dawa za ukoma na tb kwa msaada wa watu wa .Marekani
Don't be an imbecilic moron.
Bwana zenu wamenyenyua mikono 👇👇VILLAGE MONKEY
ilitakiwaje?Hapo uko kweny magroup yao ya wasap TEC wachungaj na mapastor wanafyonya tu
I Inshu ya upinde inazidi kuvuka mipakaHapo uko kweny magroup yao ya wasap TEC wachungaj na mapastor wanafyonya tu
Acha udini wa kijinga Marekani sio Taleban usije ukachanganya kwamba Marekani ni Saudia au Oman au Qatar ushaelewa Papa wa Vatican ni Mmarekani km hujui amefonya wapi?Hapo uko kweny magroup yao ya wasap TEC wachungaj na mapastor wanafyonya tu
Ndo pastor wako kakuambia ujibu HIvi?Acha udini wa kijinga Marekani sio Taleban usije ukachanganya kwamba Marekani ni Saudia au Oman au Qatar ushaelewa Papa wa Vatican ni Mmarekani km hujui amefonya wapi?