Marekani yaondoa baadhi ya masharti makali kwa Tanzania

We nawe unakuwaga mjinga mjinga sijui kwanini??
 
Tayari Nchimbi na Kombo wako huko USA kuongea na beberu asiweke vikwazo. Badala ya kusema wameufyata jipongeze kwa jinsi mlivyo walilia wawasamehe.
 
Ukitaka kummaliza target usimwache akaenda Mbali , ukute yuuesiei anatimia mbinu hii🤔
 
Kuwepo kwenye anga la watu hao ni hatari. Ni vyema wamarekani watusahau kwani kwa historia nchi yetu haichezi michezo ya kua kibaraka wao. Ukweli kama nchi nyingi tunaiogopa nchi hiyo yenye hila mbaya nyingi. Sisi tunataka kuheshimiwa uhuru wetu.

Hata ufanyeje, kamwe hamtapata uhuru wa kuua na kuteka watu.
 

..kwani marekebisho yameelekeza waliohusika na mauaji wasitajwe, au kuchukuliwa hatua?

..kwa maoni yangu sioni kilichopunguzwa ktk yale wanayoyadai wanaharakati.
 
Yaani ile tu kutungiwa muswada, tayari ni red flag. Vipengele vipunguzwe makali au vinginevyo!
Serikali ya wauaji na machawa wote hawastahili kuwepo!
 
..kwani marekebisho yameelekeza waliohusika na mauaji wasitajwe, au kuchukuliwa hatua?

..kwa maoni yangu sioni kilichopunguzwa ktk yale wanayoyadai wanaharakati.
Kawaulize Mimi Sina jibu
 
Nani aliwauwa watanganyika wale wasio na hatia?
Walikuwa wangapi?
Waliozikwa wqp
Je siyo kweli kwamba Wana jwtz walivishwa sale za polisi Ili kupiga risasi watu wakiwa majumbani mwao na hata kwenye mabanda umiza wakitazama mpira ( kisa Cha kijana wa salasala kinahuzunisha mnoo)
Ccm ni wauwaji kinategemea Dola kupambana na wqpinzani wake
Shame on you
 
Wakitukazia 'mabeberu' wakilegeza 'wafadhili'.....
 

Kumbe Tanzania iko kwenye hot soup hivyo serikali hata haisemi. Aisee, ndo maana samia hajui ashike lipi.
Wewe uliyeleta taarifa mbona hukutuletea taarifa kuwa marekeni inaendelea kuishughulikia Tanzania. Hujatuambia mgonjwa anatatizo la kansa unatuletea taarifa kwamba kansa ya aliyonayo mgonjwa haina madhara makubwa halafu unajiona na wewe unataarifa nzito!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…