Marekani yapaka matope China katika suala la madeni barani Afrika

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
美国激进加息.jpg
Hivi karibuni, tatizo la madeni barani Afrika limefuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Marekani imetumia fursa hii kuikashifu China kuwa kikwazo cha utatuzi wa madeni ya nchi za Afrika. Lakini ukweli ni kwamba, China imetoa mchangao zaidi katika suala la madeni ya nchi za Afrika, jambo ambalo Marekani inapaswa kufanya, ni kuwajibika katika suala hilo.

Kulingana na takwimu, katika miaka mitatu ijayo, jumla ya malipo ya madeni ya nchi za Afrika yatakuwa dola bilioni 106 za kimarekani, hali ambayo itaathiri nchi nyingi za Afrika ikiwemo Zambia. Kuanzia mwezi Novemba mwaka 2020, Zambia ilianza kuwa na dalili ya msukosuko wa madeni, ikishindwa kulipa deni la Euro milioni 42.5. Hivi sasa, nchi hiyo ina mzigo mkubwa wa madeni ya nje ambayo yamefikia dola bilioni 17 za kimarekani. Kwa kuwa China imefanya uwekezaji zaidi nchini Zambia, Marekani inadai kuwa China ni chanzo cha msukosuko wa madeni nchini humo. Mwanzoni mwa mwaka huu, Waziri wa Fedha wa Marekani Jenet Yellen alichagua kwa makini nchi tatu za Afrika alizotembelea, ikiwa ni pamoja na Zambia. Katika ziara hiyo, Yellen aliipaka matope China katika suala la madeni ya Afrika, na kusema kama angeweza kufanya ziara nchini China, jambo la kwanza analopenda kujadiliana na China ni suala la madeni ya nchi zinazoendelea.

Lakini ukweli ni kwamba, China inajitahidi sana kuzisaidia nchi za Afrika kushughulikia tatizo la madeni, na miongoni mwa Kundi la Nchi 20 (G20), China imetoa mchango mkubwa zaidi katika juhudi za kuahirisha na kupunguza malipo ya madeni ya nchi za Afrika. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China na Afrika ya Chuo Kikuu cha John Hopkins nchini Marekani inaonyesha kuwa, China imeshiriki kwa hatua madhubuti zaidi katika mpango wa G20 wa kuahirisha na kupunguza madeni ya nchi zinazoendelea, na kuchangia asilimia 63 ya mpango huo. Ripoti hiyo inasema, China imefanya mawasiliano mazuri na nchi za Afrika katika suala la madeni, na kutekeleza vizuri majukumu yake.

Kuhusu msukosuko wa madeni barani Afrika, Marekani yenyewe inapaswa kubeba jukumu kuu. Kwanza ni sera yake ya fedha. Ili kukabiliana na mfumuko wa bei, Marekani hivi karibuni imepandisha viwango vya riba mara nyingi, hatua ambayo imeleta athari kubwa kwa nchi za Afrika, ikiwemo Zambia, kwani nchi hizo zitalipa riba kubwa zaidi kutokana na mzigo mkubwa wa madeni. Pili, katika nchi nyingi za Afrika, wakopeshaji wakubwa zaidi ni mashirika ya kibiashara ya nchi za Magharibi na mashirika ya kimataifa. Mashirika hayo ambayo mengi yanamilikiwa na Marekani, yanachukua karibu robo tatu ya madeni ya jumla barani Afrika. Lakini Marekani inakaa kimya kuhusu hali hii, na kukataa ombi la China la kuhusisha wakopeshaji wa kibiashara na mashirika ya kimataifa katika juhudi za kutatua suala la madeni ya Afrika.

Mara kwa mara Marekani inalaumu China kuhusu suala la madeni barani Afrika. Wengi wanajiuliza, je, kitendo hicho ni kwa ajili ya Afrika kweli? Jibu ni hapana. Marekani inatumia suala hilo kama silaha yake ya kushindana na China.

Katika miaka ya hivi karibuni, Marekani imezidi kuiona China kama mshindani wake mkubwa, na Afrika imekuwa moja ya maeneo muhimu ya kushindana na China. Mwaka jana, Rais wa Marekani Joe Biden alikusanya viongozi wa nchi 49 za Afrika mjini Washington, na kutangaza atatoa uwekezaji wa dola bilioni 55 za kimarekani barani Afrika. Hata hivyo, ahadi za Marekani mara kwa mara zimekuwa ni maneno matupu. Wakati wakiwa madarakani, marais Barack Obama na Donald Trump walitoa ahadi za kiuchumi kwa nchi za Afrika, kama vile kupanua biashara na Afrika na kuzisaidia nchi za Afrika kuongeza uzalishaji wa umeme, lakini ahadi hizo hazikutimizwa.

Kwa Marekani, njia ya bei nafuu zaidi ni kuutenganisha uhusiano kati ya China na Afrika, kwa kuipaka matope China katika masuala mbalimbali ya Afrika, ikiwemo suala la madeni.
 
Why it's called "DEBT TRAP DIPLOMACY "

Ni kwasababu biashara zenu zinazofanyika kati ya China na mataifa mengine yanayoendelea sio ya uwazi.

China imehusika katika kuzitrap kwenye madeni nchi nyingi za Afrika kwa kuziingiza kwenye mikataba migumu yenye madeni makubwa yasiyo na uhalisia.

Makampuni mengi ya China huwa yanabidi tenda kisha kwa kutumia rushwa na kutokuwa na uwazi wanaweka gharama kubwa kitendo ambacho kinaleta mzozano.

Mfano mdogo tu juzi CAG ameilalamikia kampuni ya China ya CCECC kupewa tenda ya SGR kutoka tabora kwa gharama kubwa zaidi wakati yupo mkandarasi aliebid kwa gharama nzuri tu. CAG anahisi rushwa imeingia hapa. Na kuiomba SERIKALI ifanyie uchunguzi.

Tatizo lingine China inaziingiza nchi za Afrika kwenye madeni na kisha kuchukua maeneo yao au project zao za kimkakati kwamfano viwanja vya ndege, bandari n.k

Wekeni transparency na accountability kwenye namna mnavyozikopesha nchi zinazoendelea halafu muone kama Kuna nchi itawapigia kelele.

You're playing rough in this issue.
 
Kubwa linalotusumbua ni ubinafs uliopitiliza

Wasain mikataba huwa hawazingatii vipengele vya mkataba husika namna vitakavyoinufaisha nchi isipokuwa wanazingatia kias cha pesa watakachoingiza wao binafs

Kwa mazingira hayo huwez mlaumu mkopeshaj hata kidogo
 
Kumbuka nimesisita uwazi, haya mambo yote hayawezi kutokea ikiwa kutakuwa na uwazi.
 
Why it's called "DEBT TRAP DIPLOMACY "

Ni kwasababu biashara zenu zinazofanyika kati ya China na mataifa mengine yanayoendelea sio ya uwazi.

China imehusika katika kuzitrap kwenye madeni nchi nyingi za Afrika kwa kuziingiza kwenye mikataba migumu yenye madeni makubwa yasiyo na uhalisia.

Makampuni mengi ya China huwa yanabidi tenda kisha kwa kutumia rushwa na kutokuwa na uwazi wanaweka gharama kubwa kitendo ambacho kinaleta mzozano.

Mfano mdogo tu juzi CAG ameilalamikia kampuni ya China ya CCECC kupewa tenda ya SGR kutoka tabora kwa gharama kubwa zaidi wakati yupo mkandarasi aliebid kwa gharama nzuri tu. CAG anahisi rushwa imeingia hapa. Na kuiomba SERIKALI ifanyie uchunguzi.

Tatizo lingine China inaziingiza nchi za Afrika kwenye madeni na kisha kuchukua maeneo yao au project zao za kimkakati kwamfano viwanja vya ndege, bandari n.k

Wekeni transparency na accountability kwenye namna mnavyozikopesha nchi zinazoendelea halafu muone kama Kuna nchi itawapigia kelele.

You're playing rough in this issue.

Msiwe mnarudia rudia propaganda za Wamerikani dhidi ya Uchina, Wachina waliwahi kipora bandari zipi. na viwaja vya ndge vingapi barani Afrika?? Kumbukeni Wamerikani hawapendi kabisa ujio wa Wachina barani Afrika ndio maana wanawazushia mambo mengi Wachina using their SMS.

Kumbukeni vile vile kwamba Mabeberu bado wanalichukulia bara la Afrika kama back yard yao vile, in other words - mabeberu bado wanasumbiliwa na remnant colonial mentality.

Don't you forget kwamba Chinese have helped Africans a lot to help themselves, mababeru je, waliwahi kuiachia Tanzania vitu gani vya maandeleo unlike Chinese ambao wamejenga viwanda vingi, infrastructures nyingine muhimu ngapi mfano barabara,reli, madaraja,umeme, mitambo ya mawasiliano mfano mkonga, mahospitali,mashule,vyuo vya ufundi nk.

In short Wachina wamefanya kazi kubwa ya kujivunia barani Afrika - hata Rais wa Zambia aliwahi kukanusha habari za uongo na uzushi zinazo enezwa na mashirika ya habari ya west yakiwa na lengo la kujaribu kuiharibia sifa Uchina, wanatunga habari za kubuni tu na mara nyingi kusema mleta habari hataki jina lake, litajwe!!!
 
Fact [emoji106][emoji106]
 
Na sisi huku Africa Wachina watukopeshe kwa kununua Treasury bonds. Tuuze Treasury bonds na bills katika minada huru ya masoko ya kifedha kama wanavyofanya Wamarekani.
Sasa mbona USA mwenyewe ana Madeni makubwa ambaya hatoweza kuyalipa mpaka dunia inakwisha mbona haya semi ya kwake.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kubwa la mikopo ya China ni kukosa uwazi na kutoweka mashariti imara ya uwajibikaji kwa wakopaji. China unaweza kuifananisha na zile taasisi zinazotoa mikopo ya haraka kwa watumishi na wanashikilia kadi zao za benki kama dhamana, "loan shark"
 
Topic yaongelea China na madeni ya Afrika, we mtoto wa kahaba unaiingiza Marekani
You're peace of shit to me..., my brother, even US you just watch on TV or movies, that it I'm sure 1 million % you just never move ur gadm ass out of Tz. I'm pretty sure for that.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
You're peace of shit to me..., my brother, even US you just watch on TV or movies, that it I'm sure 1 million % you just never move ur gadm ass out of Tz. I'm pretty sure for that.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Kiingeleza broken
We shoga tu nenda kabanduliwe vizuri
 
View attachment 2585986Hivi karibuni, tatizo la madeni barani Afrika limefuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Marekani imetumia fursa hii kuikashifu China kuwa kikwazo cha utatuzi wa madeni ya nchi za Afrika. Lakini ukweli ni kwamba, China imetoa mchangao zaidi katika suala la madeni ya nchi za Afrika, jambo ambalo Marekani inapaswa kufanya, ni kuwajibika katika suala hilo.

Kulingana na takwimu, katika miaka mitatu ijayo, jumla ya malipo ya madeni ya nchi za Afrika yatakuwa dola bilioni 106 za kimarekani, hali ambayo itaathiri nchi nyingi za Afrika ikiwemo Zambia. Kuanzia mwezi Novemba mwaka 2020, Zambia ilianza kuwa na dalili ya msukosuko wa madeni, ikishindwa kulipa deni la Euro milioni 42.5. Hivi sasa, nchi hiyo ina mzigo mkubwa wa madeni ya nje ambayo yamefikia dola bilioni 17 za kimarekani. Kwa kuwa China imefanya uwekezaji zaidi nchini Zambia, Marekani inadai kuwa China ni chanzo cha msukosuko wa madeni nchini humo. Mwanzoni mwa mwaka huu, Waziri wa Fedha wa Marekani Jenet Yellen alichagua kwa makini nchi tatu za Afrika alizotembelea, ikiwa ni pamoja na Zambia. Katika ziara hiyo, Yellen aliipaka matope China katika suala la madeni ya Afrika, na kusema kama angeweza kufanya ziara nchini China, jambo la kwanza analopenda kujadiliana na China ni suala la madeni ya nchi zinazoendelea.

Lakini ukweli ni kwamba, China inajitahidi sana kuzisaidia nchi za Afrika kushughulikia tatizo la madeni, na miongoni mwa Kundi la Nchi 20 (G20), China imetoa mchango mkubwa zaidi katika juhudi za kuahirisha na kupunguza malipo ya madeni ya nchi za Afrika. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China na Afrika ya Chuo Kikuu cha John Hopkins nchini Marekani inaonyesha kuwa, China imeshiriki kwa hatua madhubuti zaidi katika mpango wa G20 wa kuahirisha na kupunguza madeni ya nchi zinazoendelea, na kuchangia asilimia 63 ya mpango huo. Ripoti hiyo inasema, China imefanya mawasiliano mazuri na nchi za Afrika katika suala la madeni, na kutekeleza vizuri majukumu yake.

Kuhusu msukosuko wa madeni barani Afrika, Marekani yenyewe inapaswa kubeba jukumu kuu. Kwanza ni sera yake ya fedha. Ili kukabiliana na mfumuko wa bei, Marekani hivi karibuni imepandisha viwango vya riba mara nyingi, hatua ambayo imeleta athari kubwa kwa nchi za Afrika, ikiwemo Zambia, kwani nchi hizo zitalipa riba kubwa zaidi kutokana na mzigo mkubwa wa madeni. Pili, katika nchi nyingi za Afrika, wakopeshaji wakubwa zaidi ni mashirika ya kibiashara ya nchi za Magharibi na mashirika ya kimataifa. Mashirika hayo ambayo mengi yanamilikiwa na Marekani, yanachukua karibu robo tatu ya madeni ya jumla barani Afrika. Lakini Marekani inakaa kimya kuhusu hali hii, na kukataa ombi la China la kuhusisha wakopeshaji wa kibiashara na mashirika ya kimataifa katika juhudi za kutatua suala la madeni ya Afrika.

Mara kwa mara Marekani inalaumu China kuhusu suala la madeni barani Afrika. Wengi wanajiuliza, je, kitendo hicho ni kwa ajili ya Afrika kweli? Jibu ni hapana. Marekani inatumia suala hilo kama silaha yake ya kushindana na China.

Katika miaka ya hivi karibuni, Marekani imezidi kuiona China kama mshindani wake mkubwa, na Afrika imekuwa moja ya maeneo muhimu ya kushindana na China. Mwaka jana, Rais wa Marekani Joe Biden alikusanya viongozi wa nchi 49 za Afrika mjini Washington, na kutangaza atatoa uwekezaji wa dola bilioni 55 za kimarekani barani Afrika. Hata hivyo, ahadi za Marekani mara kwa mara zimekuwa ni maneno matupu. Wakati wakiwa madarakani, marais Barack Obama na Donald Trump walitoa ahadi za kiuchumi kwa nchi za Afrika, kama vile kupanua biashara na Afrika na kuzisaidia nchi za Afrika kuongeza uzalishaji wa umeme, lakini ahadi hizo hazikutimizwa.

Kwa Marekani, njia ya bei nafuu zaidi ni kuutenganisha uhusiano kati ya China na Afrika, kwa kuipaka matope China katika masuala mbalimbali ya Afrika, ikiwemo suala la madeni.
Waafrika hatuoni aibu, mataifa mawili tu yanatuchambua chambua kama mpira wa kona. Yaani Afrika ina mataifa 54 lakini mataifa yote yamejaa vilaza mtupu.
 
Back
Top Bottom