Msiwe mnarudia rudia propaganda za Wamerikani dhidi ya Uchina, Wachina waliwahi kipora bandari zipi. na viwaja vya ndge vingapi barani Afrika?? Kumbukeni Wamerikani hawapendi kabisa ujio wa Wachina barani Afrika ndio maana wanawazushia mambo mengi Wachina using their SMS.
Kumbukeni vile vile kwamba Mabeberu bado wanalichukulia bara la Afrika kama back yard yao vile, in other words - mabeberu bado wanasumbiliwa na remnant colonial mentality.
Don't you forget kwamba Chinese have helped Africans a lot to help themselves, mababeru je, waliwahi kuiachia Tanzania vitu gani vya maandeleo unlike Chinese ambao wamejenga viwanda vingi, infrastructures nyingine muhimu ngapi mfano barabara,reli, madaraja,umeme, mitambo ya mawasiliano mfano mkonga, mahospitali,mashule,vyuo vya ufundi nk.
In short Wachina wamefanya kazi kubwa ya kujivunia barani Afrika - hata Rais wa Zambia aliwahi kukanusha habari za uongo na uzushi zinazo enezwa na mashirika ya habari ya west yakiwa na lengo la kujaribu kuiharibia sifa Uchina, wanatunga habari za kubuni tu na mara nyingi kusema mleta habari hataki jina lake, litajwe!!!