Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa mtangazaji wa Fox News inasemwa huwa anaweza kupiga tungi kuanzia asubuhi hata anapokuwa kazini. Watu wa karibu wanaomfahamu vizuri wanasema mara nyingi muda anaokuwa tungi ni mwingi zaidi kuliko anaokuwa sober.
Wafanyakazi wenzake wanasema
Kuna wakati alikuwa anakunywa pombe mpaka inawapa wasiwasi, wakati mwingine wakiwa bar analewa mpaka inabidi abebwe kurudishwa kwake.
Baadhi ya wachambuzi wanasema huenda uteuzi huo ukawa na faida kubwa kwa dunia kwa kupelekea Marekani kutoanzisha vita kwa sababu walevi waliokubuhu mara nyingi huwa ni watu wa amani na wanaopoteza focus ya kazi mara kwa mara.