Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #21
View: https://youtu.be/O8sQC72prg8?si=ajCueH4E-OebH-A5
Cheki kwanza chuma inavyoshuka kwenye V8 drunk as Where We Dare To Talk Openly lazima alishushia na bangi(I know)
Cheki anavyowashika mikono hao wanaomuaga(kama hujakaza mkono anakutegua vidole huyu).
Kasongo anamcheki tu kwa pembeni.
First lady alipoona mambo mengi akajiondokea zake kuwahi ndege.
UHUNYEE ni mtu poa sana, hana time, hapo usikute alikua anaenda Russia, akaona ngoja nisukutue kwanza huku huku kenya, nikifika Urusi ni mwendo wa nyama tu.
Uhunye kweli mtu poa sana, pamoja na ulevi wake hakuwa hata na hizi pigo za utekaji na upotezaji raia kiholela anazofanya huyu Kasongo mnywa chai tu.