Uhunye kweli mtu poa sana, pamoja na ulevi wake hakuwa hata na hizi pigo za utekaji na upotezaji raia kiholela anazofanya huyu Kasongo mnywa chai tu.
View: https://youtu.be/O8sQC72prg8?si=ajCueH4E-OebH-A5
Cheki kwanza chuma inavyoshuka kwenye V8 drunk as Where We Dare To Talk Openly lazima alishushia na bangi(I know)
Cheki anavyowashika mikono hao wanaomuaga(kama hujakaza mkono anakutegua vidole huyu).
Kasongo anamcheki tu kwa pembeni.
First lady alipoona mambo mengi akajiondokea zake kuwahi ndege.
UHUNYEE ni mtu poa sana, hana time, hapo usikute alikua anaenda Russia, akaona ngoja nisukutue kwanza huku huku kenya, nikifika Urusi ni mwendo wa nyama tu.
šNimekumbuka kile kibao cha Ahmada umelewa!
Ahmada umelewaaaa.Wala hamfikii Amani Abeid Karume.
Mkapa mwenyewe alinyoosha mikono kwa Karume.
Karume yeye huwa hapigi 'Ze Laga' , yeye vitu vyake ni vile vya kuwaka yaani 'Spirits'. Ilifikia mahala watu walikuwa hawaruhisiwi kumsogelea wakiwa wameshika kiberiti.
Uhuru anachoma shada (skanka) kama Magufuli alivyokuwa.Sidhani kama atamfikia Uhuru Kenyatta.
Only LGBT's saying thatTrump ni hasara kwa Marekani na dunia kwa ujumla.
Hadi awamu yake iishe, atakuwa amesababisha madhara sana.
Mlete hapaWaziri mteule wa fedha wa Trump ni shoga.