Marekani yapata waziri wa ulinzi mlevi wa kupindukia.

Uhuru naye alikuwa kiboko, alifungua hadi bar kabisa ikulu!🤣. Kuna wakati vitu alikuwa anafanya hadi kwenye public anaonekna kabisa tungi limepitiliza.
Yule mtu wa kijiti pia
 
Umemuumbua Baba jayaron . Mtu anayetumia muda wake kuwaza ushoga, au kiongozi kuweka mambo ya ushoga kwenye agenda zake, huwa naona ni kama mtafuta cheap populality.

Mtu serious hawezi kuhangaika na ushoga.
Haukusumbui kwasababu unauishi Mimi unanisumbua kwasababu si utaki na unanikera kwasababu unasambaa kwa nguvu za wapumbavu kama ninyi
 
Ahmada umelewaaaa.

Naskia kumbe ahmada mwenyewe mwenye wimbo wake ndio huyo babu Karume.

Kizee kilikua kinakandamiza hiki duuuh!!!
Amani,bi kidude kwenye hafla moja akaimba ahamada umelewa huku akimuelekea karume
 
Mbona ameloa, au macho yangu yana matege?
 
Umewahi mshuhudia?
Mbona kwenye confirmatory hearing hakuwa anaonekana mlevi?
 
Haukusumbui kwasababu unauishi Mimi unanisumbua kwasababu si utaki na unanikera kwasababu unasambaa kwa nguvu za wapumbavu kama ninyi
Basi acha ushoga uendelee kukusumbua, mimi haunisumbui. Kwa sababu haunihusu.

Wewe endelea kuwaza ushoga hadi utakuwa shoga. Kitu ukikiwaza sana kinakuwa.

Mwishowe utatamani kuonja uone radha wanayopata mashoga.
 
Sawa shoga angu
 
Umewahi mshuhudia?
Mbona kwenye confirmatory hearing hakuwa anaonekana mlevi?
Sijawahi mkuu, huyo sio mfanyakazi mwenzangu, rafiki au ndugu yangu.
 
Wewe lazima uje kuwa shoga, maana akili yako imejaa ushoga tu, watu wanajadili mambo ya maana wewe unakuja kuandika ushoga tu.

Lazima uje kuwa shoga na utaolewa.
Mimi kwa umri wangu nije kua shoga?? Ajitafakari saana kijana
 
Hana tofauti na john mrema au mwenyekiti aliyepita!
 
Uhuru alikunywa kupitiliza au alisukutua kikali alipokua kwenye gari kikaanza kupanda taratibu.

Anashuka akidhani yuko sawa, ile stamina ikamjulisha tu tungu limezidi, ndio chanzo cha ukakamavu pro max ili afiche kumbe ndo anaonesha.
Kwa style aliyoondoka nayo mkewe ni dhahiri alikuwa amekereka... na huko nyumbani nadhani hapakutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…