Acha uongo kipindi cha vita ya Iraq hakukuwepo jf,fb,waswap,instagiram,hata simu za kuteleza hazikuwepo sasa tulsemea wapi ?kabla hujaongea kitu jifikirie kwanza.Hata wakati wa Saddam mlisema hivi hivi, mwishowe mkalia Marekani muonevu.
Kuongea ni rahisi sana.Hivi vita ikianza hayo madege yao watayarushia wapi? maana cha kwanza Iran itahakikisha inaharibu viwanja vyote vya kijeshi vilivyoko mashariki ya kati.
Kweli kabisaSilaha zote hizo zinatengenezwa kuuwa binadamu tukumbuke ilo
Kirahisi hivyo?Kuongea ni rahisi sana.
Hapo iran anawekwa mtu kati, hakuna hata panya atatoka nje ya mipaka yake.
Wote wanachakaziwa ndani.
High Tech katika nini? Maana kila Teknolojia ina kazi yake maalumu.Zitakuwa na high tech kama Global Hawk!!
Au?
Hta zweje bdo anga la uajemi c salama kwazoHigh Tech katika nini? Maana kila Teknolojia ina kazi yake maalumu.
Ninamaanisha kuwa kazi ya chombo husika ndiyo ina-Determine aina ya Teknolojia inayotumika kuipatia ufanisi ili kutekeleza majukumu yake.
Global Hawk na Bone ni ndege mbili tofauti na kila moja ina kazi yake ama kazi zake maalumu na kila moja ina Teknolojia yake kivyake na zina utofauti mkubwa sana hata kwa mtazamo tu wa nje.
Ndege kama hizi hazihitaji uwanja.Zinaruka hata kutoka katika meli za kivita ambazo tayari ziko mashariki ya kati.Na pia zi auwezo wa kuruka bila kukimbia sana.Zinaweza kujinyanua bila kukimbia.Kwa hiyo hilo lisikupe shida.
Ok sadam alikua jabari bana,ma supa pawa na wasio ma supa pawa walishirikiana kumpiga mtu mmoja tu/nchi moja peke yake Tena baada ya kuchunguzwa na kupata taarifa muhimu za kijeshi toka wateule wapelelezi waliojifanya wakaguzi wa WMD wa UN bwana Hans Brix na baadae Joseph Butler wakiuza Siri za Iraq kwa US na WashirikaHata wakati wa Saddam mlisema hivi hivi, mwishowe mkalia Marekani muonevu.
Hapo ndo hua nauona udhaifu wa US na mashabiki wao.Mtu Kati.Yaani Iran nchi ndogo tu mnasubiri mkusanyane weee mumweke mtu Kati mumchangie mumpige halafu aje asifiwe USA peke yake,halafu mnasema USA ni supa pawa wakati anashindwa kuingia peke yake anasubiri wapambe wamweke mtu Kati.Kuongea ni rahisi sana.
Hapo iran anawekwa mtu kati, hakuna hata panya atatoka nje ya mipaka yake.
Wote wanachakaziwa ndani.
Unganisha dot netanyau alikuwa Saudi Arabia juz, pompeo nae alikuwa huko....yajayo yanafurahisha[emoji23]
Hizi ni Supersonic 'Strategic' Bombers ambazo sifa zake kubwa ni uwezo wa kufanya Missions za mbali na zenye uhitaji wa mashambulizi makubwa na ya haraka ndiyo maana zinaitwa "Strategic".Hivi vita ikianza hayo madege yao watayarushia wapi? maana cha kwanza Iran itahakikisha inaharibu viwanja vyote vya kijeshi vilivyoko mashariki ya kati.
Ndege kama hizi hazihitaji uwanja.Zinaruka hata kutoka katika meli za kivita ambazo tayari ziko mashariki ya kati.Na pia zi auwezo wa kuruka bila kukimbia sana.Zinaweza kujinyanua bila kukimbia.Kwa hiyo hilo lisikupe shida.
Meli ipi inabeba bomber? Pole pole jf inakua fb
Zipo Projects ambazo zinahusisha Carrier-Based Bombers ambazo ni Bombers zinazoweza kutumika katika Aircraft Carriers lakini hizo ni kwa ajili ya Jeshi la Majini (Navy). Pia ni mradi wenye gharama kubwa sana kuuendesha na si wa lazima kwa Air Force ama Jeshi la Anga.Lini bomber zikaruka kutoka kwenye Meli?
Braza IRAN usimuchulie kitotoMtoto wa kike unaalikwa lunch unakuja, unaalikwa dinna unatoka, unaitwa outing unakuja, unapelekwa shopping unakubali. Siku ukialikwa chumbani unashangaa. Oooh, ungenambia, ooh sikujua kama yangefika huku
hahahahah
Saudia anachokitafuta atakipata, siku akija kustuka, kaishaliwa
Kwamba US yupo tayari kuchoma mafuta, kuua askari wake, kuja kukaa jangwani hivi hivi tuuuuu
Asikiaye na afahamu
U.S. Strategic Command launched an unspecified number of B-2 Spirit and B-52 Stratofortress bombers to Europe "from multiple locations in the United States and are conducting training operations in the European theater" during the annual nuclear command-and-control and field training exercise, officials said Monday.
These operations include "joining and integrating with B-52 aircraft currently deployed to the [United Kingdom] as well as with fourth- and fifth-generation fighter aircraft flown by multiple close allies," STRATCOM said in a release.
The "Bomber Task Force" demonstrates "the U.S.' capability to provide extended deterrence and fulfill commitments to allies and partners in the region," the release states.
Umetizama Jambo hili Zaid ya hadubiniUkiangalia kwa nje unaweza fikiria kwamba Ni msaaada..si kweli hapo Saudia wanalipia hiyo huduma. Utajiri wa Marekani unachangiwa na machafuko yanayoendelea duniani
Hata Mimi nimebaki nashangaaHahah hiki kichekesho cha mwaka. B-1 ikae kwenye meli? Meli ipi inabeba bomber? Pole pole jf inakua fb
Alikusanya kijiji kizima kimsaidie kwenda mwenyewe muoga sana muulize nini kilimtokea vita ya Korea akaomba msaada UNHata wakati wa Saddam mlisema hivi hivi, mwishowe mkalia Marekani muonevu.