Marekani yapeleka ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) nchini Saudi Arabia

Marekani yapeleka ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) nchini Saudi Arabia

Zitakuwa na high tech kama Global Hawk!!
Au?
High Tech katika nini? Maana kila Teknolojia ina kazi yake maalumu.

Ninamaanisha kuwa kazi ya chombo husika ndiyo ina-Determine aina ya Teknolojia inayotumika kuipatia ufanisi ili kutekeleza majukumu yake.

Global Hawk na Bone ni ndege mbili tofauti na kila moja ina kazi yake ama kazi zake maalumu na kila moja ina Teknolojia yake kivyake na zina utofauti mkubwa sana hata kwa mtazamo tu wa nje.
 
High Tech katika nini? Maana kila Teknolojia ina kazi yake maalumu.

Ninamaanisha kuwa kazi ya chombo husika ndiyo ina-Determine aina ya Teknolojia inayotumika kuipatia ufanisi ili kutekeleza majukumu yake.

Global Hawk na Bone ni ndege mbili tofauti na kila moja ina kazi yake ama kazi zake maalumu na kila moja ina Teknolojia yake kivyake na zina utofauti mkubwa sana hata kwa mtazamo tu wa nje.
Hta zweje bdo anga la uajemi c salama kwazo
 
Uongo huu;
lini B-1 iliruka toka kwenye carrier?,
Jf hata asiyejua anajifanya anajua;
Ndege kama hizi hazihitaji uwanja.Zinaruka hata kutoka katika meli za kivita ambazo tayari ziko mashariki ya kati.Na pia zi auwezo wa kuruka bila kukimbia sana.Zinaweza kujinyanua bila kukimbia.Kwa hiyo hilo lisikupe shida.
 
Hata wakati wa Saddam mlisema hivi hivi, mwishowe mkalia Marekani muonevu.
Ok sadam alikua jabari bana,ma supa pawa na wasio ma supa pawa walishirikiana kumpiga mtu mmoja tu/nchi moja peke yake Tena baada ya kuchunguzwa na kupata taarifa muhimu za kijeshi toka wateule wapelelezi waliojifanya wakaguzi wa WMD wa UN bwana Hans Brix na baadae Joseph Butler wakiuza Siri za Iraq kwa US na Washirika
 
Kuongea ni rahisi sana.

Hapo iran anawekwa mtu kati, hakuna hata panya atatoka nje ya mipaka yake.

Wote wanachakaziwa ndani.
Hapo ndo hua nauona udhaifu wa US na mashabiki wao.Mtu Kati.Yaani Iran nchi ndogo tu mnasubiri mkusanyane weee mumweke mtu Kati mumchangie mumpige halafu aje asifiwe USA peke yake,halafu mnasema USA ni supa pawa wakati anashindwa kuingia peke yake anasubiri wapambe wamweke mtu Kati.
Na Iran akiwaalika Russia na China je,mtu Kati itafanya kazi?Kama Syria au Venezuela?au vipi ? mtu Kati imeshindwa North Korea?
 
Tunaimarisha ulinzi mashariki yakati(Irani nayo isafirishe vifaa vyake kuelekea America),,nchi zakijamaa hizi zinaishiwa ,Urusi inaongea na nchi za Afrika kuhusu biashara ,hela zao zenyewe hadi America wawakope watanunuaje silaha..kunamuda unafikiliaaaaaaaa unaishia kuchekaaaaa
Unganisha dot netanyau alikuwa Saudi Arabia juz, pompeo nae alikuwa huko....yajayo yanafurahisha[emoji23]
 
Hivi vita ikianza hayo madege yao watayarushia wapi? maana cha kwanza Iran itahakikisha inaharibu viwanja vyote vya kijeshi vilivyoko mashariki ya kati.
Hizi ni Supersonic 'Strategic' Bombers ambazo sifa zake kubwa ni uwezo wa kufanya Missions za mbali na zenye uhitaji wa mashambulizi makubwa na ya haraka ndiyo maana zinaitwa "Strategic".

Hivyo basi hazihitaji viwanja vya ndege vya karibu na eneo lengwa ili ziweze kutekeleza majukumu yake.
 
Ndege kama hizi hazihitaji uwanja.Zinaruka hata kutoka katika meli za kivita ambazo tayari ziko mashariki ya kati.Na pia zi auwezo wa kuruka bila kukimbia sana.Zinaweza kujinyanua bila kukimbia.Kwa hiyo hilo lisikupe shida.
Meli ipi inabeba bomber? Pole pole jf inakua fb
Lini bomber zikaruka kutoka kwenye Meli?
Zipo Projects ambazo zinahusisha Carrier-Based Bombers ambazo ni Bombers zinazoweza kutumika katika Aircraft Carriers lakini hizo ni kwa ajili ya Jeshi la Majini (Navy). Pia ni mradi wenye gharama kubwa sana kuuendesha na si wa lazima kwa Air Force ama Jeshi la Anga.

Kuna kitu kinaitwa VTOL yaani Vertical Take-Off and Landing ambapo ndege inauwezo wa kupaa katika mtindo wa wima na ndege kama hizi ndizo hazihitaji Runway ama uwanja wa kurukia bali zinaweza kupaa kwa mtindo wa Helicopter za kawaida (Chopper). Mfano tu ni F-35B Lightning II.

Kwa upande wa Bone, yenyewe ni kwa ajili ya Air Force na si Carrier-Based Bomber ambayo hutumika na Navy.
 
Mtoto wa kike unaalikwa lunch unakuja, unaalikwa dinna unatoka, unaitwa outing unakuja, unapelekwa shopping unakubali. Siku ukialikwa chumbani unashangaa. Oooh, ungenambia, ooh sikujua kama yangefika huku
hahahahah
Saudia anachokitafuta atakipata, siku akija kustuka, kaishaliwa
Kwamba US yupo tayari kuchoma mafuta, kuua askari wake, kuja kukaa jangwani hivi hivi tuuuuu
Asikiaye na afahamu
Braza IRAN usimuchulie kitoto
 
Kuna Bones zimerejea Ellsworth Air Force Base, South Dakota na Bombers zingine hususani B-2 Spirit pamoja na B-52 kutokea Bases mbalimbali ndani ya Marekani zimeelekea Ulaya kwa ajili ya Mazoezi maalumu.

Military.com
U.S. Strategic Command launched an unspecified number of B-2 Spirit and B-52 Stratofortress bombers to Europe "from multiple locations in the United States and are conducting training operations in the European theater" during the annual nuclear command-and-control and field training exercise, officials said Monday.

These operations include "joining and integrating with B-52 aircraft currently deployed to the [United Kingdom] as well as with fourth- and fifth-generation fighter aircraft flown by multiple close allies," STRATCOM said in a release.

The "Bomber Task Force" demonstrates "the U.S.' capability to provide extended deterrence and fulfill commitments to allies and partners in the region," the release states.
 
Back
Top Bottom