wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Punger akijaribu ku-justify ujinga wao kwa mbaaaali.Hawa wameonesha uchafu wao hadharani na tumewajua ni wafuasi wa shetani ila sio wote maana hata hapa kwetu uovu ni mwingi sana sema haujawekwa hadharani ndio tofauti kati yao na sisi , anayedhulumu haki ya mtu hana tofauti na hao mashabiki wa ibilisi tusijione watakatifu sana wanaomtumikia ibilisi hapa kwetu ni wengi mno kabla ya kurusha jiwe jitathmini kama wewe ni msafi tumwogope Mungu .