BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Nitajie raia wa marekani alieshindwa kulea wanaeHuoni kama nia yao ni nzuri?
Mtu ana Watoto 10 halafu hawezi kuwapatia huduma muhimu halafu anataka asaidiwe kulea,
Wakati angezaa watatu angemudu gharama.