Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

Hizo ni kauli tu kujionyesha wao ni miamba na ile kufuta aibu, ngoja uone kama watapiga ndani ya Iran.

Mambo ya kupiga kidogo ni kauli za uoga.
Hivi na wewe kweli, yale majibu ya Iran kwa Israel mbona ni mambo yakitoto sana??? Nilidhani Iran angejibu kwa mapigo ya maana, Kila siku Israel anaenda Iran au kwenye maeneo ya Iran, Nchi Jirani anauwa maofisa wa Iran nakuondoka.... Iran na yeye auwe hata General mmoja kutoka Israel basi
 
Yaani marekani ndiye anayeruhusu? Israel mwenyewe hana uwezo?
 
Hana ubavu huo. Ameishia kurusha machumachuma na kujeruhi binti mdogo wa kiarabu alikua anacheza kombolela
 
Wote tutaongea lugha moja tu kwamba Israel na mabwana zake hawana uthubutu wa kumshambulia Iran maana wanajua moto utakaowaka sio wa dunia hii.

Hiyo Israel mwenyewe anajikakamua tu ili asidharaulike na vibwengo walioaminishwa kwamba Israel ni tishio kivita ila ukwlei anaujua hawezi kusimama peke yake hata iweje.
 
Mkuu mimi siyo mshabiki! Siko upande wa Israel wala Iran! Nazungumza nachoona kwa mtazamo wangu.
 
 
ngoja tuone nani atashinda IRAN anayetaka kumaliza na kuufuta ushoga duniani au Israel na wenzie na harakati zao za kuwazuia IRAN isikomeshe ushoga
 
Hivi iran inajiamini vipi kwenda kushambulia taifa la nuklia (israel) sijui israel itafanyaje linapokuja swala la usalama wao israel hawaelewi chochote?
 
Ukisema hivyo uwe unajimudu basi ..Israeli hauwezi pigana vita serous kwa miezi 4 ijao bila msaada wa usa uingereza na ufaransa
 
Zile 99% Zinashuka Polepole


View: https://twitter.com/mrbarnicoat/status/1780956551421063283?t=m6_eNRuF52ES5GsZMR_bFg&s=19
 
Kwa juzi kwa hiyo nguvu ya iran iliyoionyesha yale macarria ya USA hawezi kuyapeleka mbele tena maana hata kama Iran atatumua hata drone 900 nakuhakikishia itakuwa ni valuable kww irani kwa kuwa lazima Carrier itazamishwa tu
 
Israel hana uwezo wa kumpiga iran 🇮🇷 ,Iran nitaifa lililojipambanua.
 
Na kwa moto wa juzi usa hawezi kupeleka tena Carrier na sijui atapigana kutokea wapi
 
Huyu ndiye baba wa Mapinduzi ya Iran enzi zile. Ndiye kaifanya Iran iwe nunda namna ilivyo leo
Jamaa lina akili sana hilo li Ayatola.

Vita haitakuwepo, limetuma madron 300 ili kuonyesha tu kwamba si kinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…