Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

Hizo ni kauli tu kujionyesha wao ni miamba na ile kufuta aibu, ngoja uone kama watapiga ndani ya Iran.

Mambo ya kupiga kidogo ni kauli za uoga.
Hivi na wewe kweli, yale majibu ya Iran kwa Israel mbona ni mambo yakitoto sana??? Nilidhani Iran angejibu kwa mapigo ya maana, Kila siku Israel anaenda Iran au kwenye maeneo ya Iran, Nchi Jirani anauwa maofisa wa Iran nakuondoka.... Iran na yeye auwe hata General mmoja kutoka Israel basi
 
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya kiislamu yasambaratike na kuzagaa kote, inaweza kuathiri pakubwa sana ikiwemo soko la mafuta.
Hata hivyo mpaka sasa
Iran majemedari saba wameuawa
Binti mmoja wa Israel amejeruhiwa

==============================

The US has approved a potential Israeli Rafah operation in exchange for the Jewish state not conducting counterstrikes on Iran, according to a Thursday report from the Qatari newspaper The New Arab.

A senior official told The New Arab that "Prime Minister Benjamin Netanyahu managed to obtain American approval for a military operation in Rafah, in exchange for [Israel] refraining from carrying out a wide military operation against Iran in response to its recent attack."

He claimed that "discourse of an Israeli response to Iran contradicts the desires of the American administration, and is not realistic, given the Israeli claims that the United States played the major role in repelling the Iranian attack and preventing its success."
Yaani marekani ndiye anayeruhusu? Israel mwenyewe hana uwezo?
 
Hivi na wewe kweli, yale majibu ya Iran kwa Israel mbona ni mambo yakitoto sana??? Nilidhani Iran angejibu kwa mapigo ya maana, Kila siku Israel anaenda Iran au kwenye maeneo ya Iran, Nchi Jirani anauwa maofisa wa Iran nakuondoka.... Iran na yeye auwe hata General mmoja kutoka Israel basi
Hana ubavu huo. Ameishia kurusha machumachuma na kujeruhi binti mdogo wa kiarabu alikua anacheza kombolela
 
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya kiislamu yasambaratike na kuzagaa kote, inaweza kuathiri pakubwa sana ikiwemo soko la mafuta.
Hata hivyo mpaka sasa
Iran majemedari saba wameuawa
Binti mmoja wa Israel amejeruhiwa

==============================

The US has approved a potential Israeli Rafah operation in exchange for the Jewish state not conducting counterstrikes on Iran, according to a Thursday report from the Qatari newspaper The New Arab.

A senior official told The New Arab that "Prime Minister Benjamin Netanyahu managed to obtain American approval for a military operation in Rafah, in exchange for [Israel] refraining from carrying out a wide military operation against Iran in response to its recent attack."

He claimed that "discourse of an Israeli response to Iran contradicts the desires of the American administration, and is not realistic, given the Israeli claims that the United States played the major role in repelling the Iranian attack and preventing its success."
Wote tutaongea lugha moja tu kwamba Israel na mabwana zake hawana uthubutu wa kumshambulia Iran maana wanajua moto utakaowaka sio wa dunia hii.

Hiyo Israel mwenyewe anajikakamua tu ili asidharaulike na vibwengo walioaminishwa kwamba Israel ni tishio kivita ila ukwlei anaujua hawezi kusimama peke yake hata iweje.
 
Maneno mengi sana, mlikiwa mnajazana kwenye nyuzi humu mkisema Iran ikirusha hata jiwe kuelekea Israel ndio mwisho wake, sasa wamerusha drones na missiles kwa masaa 6 mfululizo na myahudi katulia.

Ukweli usemwe tu, Israel haina uwezo kupambana na Iran, hapo kuna houthis, hezbollah, hamas na Iran wenyewe.

Israel inabidi awe mpole.

Israel lazima imsikilize US.
Mkuu mimi siyo mshabiki! Siko upande wa Israel wala Iran! Nazungumza nachoona kwa mtazamo wangu.
 
Ilivyo ni hivi! Linapokuja swala la usalama wa Israel,huwa Israel haimsikilizi mtu yo yote au taifa lo lote mf.sijui US,sijui Uingereza au Russia,nk
Wala haipangiwi cha kufanya na mtu ye yoye au taifa lo lote.
Huwa inajiamlia yeyenyewe!
Kinachofanyika hapo ni kuibembeleza tu isilipize kisasi kwa Iran,kwa sababu nachoona US na Washirika wake wanahofia maslahi yao kuhujumiwa na Iran! Harafu gharama ya vita. Lakini kwa habari ya kuirudishia majibu Iran itajibu kwa wakati Israel itakaoona unafaa.
 
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya kiislamu yasambaratike na kuzagaa kote, inaweza kuathiri pakubwa sana ikiwemo soko la mafuta.
Hata hivyo mpaka sasa
Iran majemedari saba wameuawa
Binti mmoja wa Israel amejeruhiwa

==============================

The US has approved a potential Israeli Rafah operation in exchange for the Jewish state not conducting counterstrikes on Iran, according to a Thursday report from the Qatari newspaper The New Arab.

A senior official told The New Arab that "Prime Minister Benjamin Netanyahu managed to obtain American approval for a military operation in Rafah, in exchange for [Israel] refraining from carrying out a wide military operation against Iran in response to its recent attack."

He claimed that "discourse of an Israeli response to Iran contradicts the desires of the American administration, and is not realistic, given the Israeli claims that the United States played the major role in repelling the Iranian attack and preventing its success."
ngoja tuone nani atashinda IRAN anayetaka kumaliza na kuufuta ushoga duniani au Israel na wenzie na harakati zao za kuwazuia IRAN isikomeshe ushoga
 
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya kiislamu yasambaratike na kuzagaa kote, inaweza kuathiri pakubwa sana ikiwemo soko la mafuta.
Hata hivyo mpaka sasa
Iran majemedari saba wameuawa
Binti mmoja wa Israel amejeruhiwa

==============================

The US has approved a potential Israeli Rafah operation in exchange for the Jewish state not conducting counterstrikes on Iran, according to a Thursday report from the Qatari newspaper The New Arab.

A senior official told The New Arab that "Prime Minister Benjamin Netanyahu managed to obtain American approval for a military operation in Rafah, in exchange for [Israel] refraining from carrying out a wide military operation against Iran in response to its recent attack."

He claimed that "discourse of an Israeli response to Iran contradicts the desires of the American administration, and is not realistic, given the Israeli claims that the United States played the major role in repelling the Iranian attack and preventing its success."
Hivi iran inajiamini vipi kwenda kushambulia taifa la nuklia (israel) sijui israel itafanyaje linapokuja swala la usalama wao israel hawaelewi chochote?
 
Ilivyo ni hivi! Linapokuja swala la usalama wa Israel,huwa Israel haimsikilizi mtu yo yote au taifa lo lote mf.sijui US,sijui Uingereza au Russia,nk
Wala haipangiwi cha kufanya na mtu ye yoye au taifa lo lote.
Huwa inajiamlia yeyenyewe!
Kinachofanyika hapo ni kuibembeleza tu isilipize kisasi kwa Iran,kwa sababu nachoona US na Washirika wake wanahofia maslahi yao kuhujumiwa na Iran! Harafu gharama ya vita.
Ukisema hivyo uwe unajimudu basi ..Israeli hauwezi pigana vita serous kwa miezi 4 ijao bila msaada wa usa uingereza na ufaransa
 
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya kiislamu yasambaratike na kuzagaa kote, inaweza kuathiri pakubwa sana ikiwemo soko la mafuta.
Hata hivyo mpaka sasa
Iran majemedari saba wameuawa
Binti mmoja wa Israel amejeruhiwa

==============================

The US has approved a potential Israeli Rafah operation in exchange for the Jewish state not conducting counterstrikes on Iran, according to a Thursday report from the Qatari newspaper The New Arab.

A senior official told The New Arab that "Prime Minister Benjamin Netanyahu managed to obtain American approval for a military operation in Rafah, in exchange for [Israel] refraining from carrying out a wide military operation against Iran in response to its recent attack."

He claimed that "discourse of an Israeli response to Iran contradicts the desires of the American administration, and is not realistic, given the Israeli claims that the United States played the major role in repelling the Iranian attack and preventing its success."
Zile 99% Zinashuka Polepole

View: https://twitter.com/mrbarnicoat/status/1780956551421063283?t=m6_eNRuF52ES5GsZMR_bFg&s=19
 
US haina huo uwezo, hio vita itaiporomosha US kiuchumi si kidogo.

Wameshindwa kuipiga North Korea wataweza Iran.

US ina nguvu kijeshi kuliko Iran lakini kuingia vitani na Iran ni habari nyingine hata Trump hakuthubutu baada ya kambi za US kupigwa na missiles za Iran.
Kwa juzi kwa hiyo nguvu ya iran iliyoionyesha yale macarria ya USA hawezi kuyapeleka mbele tena maana hata kama Iran atatumua hata drone 900 nakuhakikishia itakuwa ni valuable kww irani kwa kuwa lazima Carrier itazamishwa tu
 
Israel hana uwezo wa kumpiga iran 🇮🇷 ,Iran nitaifa lililojipambanua.
 
Wote tutaongea lugha moja tu kwamba Israel na mabwana zake hawana uthubutu wa kumshambulia Iran maana wanajua moto utakaowaka sio wa dunia hii.

Hiyo Israel mwenyewe anajikakamua tu ili asidharaulike na vibwengo walioaminishwa kwamba Israel ni tishio kivita ila ukwlei anaujua hawezi kusimama peke yake hata iweje.
Na kwa moto wa juzi usa hawezi kupeleka tena Carrier na sijui atapigana kutokea wapi
 
Huyu ndiye baba wa Mapinduzi ya Iran enzi zile. Ndiye kaifanya Iran iwe nunda namna ilivyo leo
Jamaa lina akili sana hilo li Ayatola.

Vita haitakuwepo, limetuma madron 300 ili kuonyesha tu kwamba si kinyonge.
 
Back
Top Bottom