Calfornia
Member
- Oct 26, 2019
- 49
- 131
Tafakari zaidi, Kule Rohingya US alisema nini? Palestina wanauliwa kila uchwao na Israel amesema nini? Ujue tu, popote unapoona US amelaani jambo fulani ujue kuna maslahi yake hayako sawa!Bado kuna waislamu watasema Marekani wanawachukia waislamu