Marekani yasaini muswada kupinga vikwazo vya China dhidi ya waislamu

Marekani yasaini muswada kupinga vikwazo vya China dhidi ya waislamu

Kabisa mkuu[emoji817][emoji817]
Tafakari zaidi, Kule Rohingya US alisema nini? Palestina wanauliwa kila uchwao na Israel amesema nini? Ujue tu, popote unapoona US amelaani jambo fulani ujue kuna maslahi yake hayako sawa!
 
China yuko byzy na Maendeleo ya nchi yake, hio unayoona Us anatetea Uislam ni Unafki mkubwa coz yy mwenyewe ana damu za Waislam mikononi mwake so atateteaje Waislam wakati anawachukia na kuwauwa kila siku?
Kwahiyo wewe unaona sawa wanayofanyiwa waislam wa uighur na serikali ya Beijing?!
 
2020 Trump ataitumia china kama sarafu ya kuingilia Ikulu au iran
 
Mandela alisema siku moja kuwa "wazungu wanafikili kuwa matatizo yao ni matatizo ya wote" sasa hapa naona waislam wanaenda kutumika kama big G.
 
Mkuu sikusema kuwa ni sawa ila nunachosema mm ni kuwa Anachodai marekani kwa China ni unafki coz huwezi kumkataza jirani yako asilewe wakati ww mwenyewe unalewa zaidi yake, Anachodai marekani kwa China ni just politics tu na sio kweli kama anawatetea kweli waislam
Kwahiyo wewe unaona sawa wanayofanyiwa waislam wa uighur na serikali ya Beijing?!
 
Hizo zinaitwa politics, yaani ni kama babaishabwege, Marekani anafanya kila anachoona kina MASLAHI kwake na sio MASLAHI ya yyte, ata akiwekea vikwazo China dhidi ya hivyo haiondoi ukweli kuwa Us ndio alieuwa Waislam wengi sana duniani na ndie anaechukia Waislam,pia inawezekana anataka kaengeza ushawishi M/East kwa kuonekana eti anatetea Waislam kumbe ni politics ya vita ya kibiashara [emoji23]
Wewe ndo umecomment hivi kwa sababu ya chuki zako binafsi kwa marekani, waislam wa China wametetewa unalalamika, na je marekani ingeunga mkono anachokifanya China kwa waislam ungefanyaje?!
 
Ni kwa ajili ya hao waislamu au ni kwa chuki dhidi ya China? Au ni muendelezo wa uhasama kwenye vita vya kibiashara? kwani waislamu wanateseka huko China pekee? Wakati kundi la Ant-balaka linaua waislamu huko Central African Republic alichukua hatua gani? Waislamu wanao uawa huku Palestina na kwingineko amechukua hatua gani?
Acha wafe wamepita mstari mwekundu
 
Back
Top Bottom