Marekani yasaini muswada kupinga vikwazo vya China dhidi ya waislamu

Kabisa mkuu[emoji817][emoji817]
Tafakari zaidi, Kule Rohingya US alisema nini? Palestina wanauliwa kila uchwao na Israel amesema nini? Ujue tu, popote unapoona US amelaani jambo fulani ujue kuna maslahi yake hayako sawa!
 
China yuko byzy na Maendeleo ya nchi yake, hio unayoona Us anatetea Uislam ni Unafki mkubwa coz yy mwenyewe ana damu za Waislam mikononi mwake so atateteaje Waislam wakati anawachukia na kuwauwa kila siku?
Kwahiyo wewe unaona sawa wanayofanyiwa waislam wa uighur na serikali ya Beijing?!
 
2020 Trump ataitumia china kama sarafu ya kuingilia Ikulu au iran
 
Mandela alisema siku moja kuwa "wazungu wanafikili kuwa matatizo yao ni matatizo ya wote" sasa hapa naona waislam wanaenda kutumika kama big G.
 
Mkuu sikusema kuwa ni sawa ila nunachosema mm ni kuwa Anachodai marekani kwa China ni unafki coz huwezi kumkataza jirani yako asilewe wakati ww mwenyewe unalewa zaidi yake, Anachodai marekani kwa China ni just politics tu na sio kweli kama anawatetea kweli waislam
Kwahiyo wewe unaona sawa wanayofanyiwa waislam wa uighur na serikali ya Beijing?!
 
Marekani ana tabia flan kama za babu tale na mkubwa fela
 
Wewe ndo umecomment hivi kwa sababu ya chuki zako binafsi kwa marekani, waislam wa China wametetewa unalalamika, na je marekani ingeunga mkono anachokifanya China kwa waislam ungefanyaje?!
 
Acha wafe wamepita mstari mwekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…