johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Usemi tu wa watu wavivu wa kufikiriIsrael bila Marekani na mataifa kama Saudi Arabia na Jordan, angekuwa ameshafutika katika ramani ya. Dunia.
Labda dunia yako wewe usituhusishe na sisi walio ibadilisha dunia walikuwa majews!? Nikola Tesla, wright brothers,James watt,n.k ,,tatizo umekalilishwa na sitory za mtaani,, marekani anamlinda Israel kulingana na mkataba aliosaini na ye..,kwamba atailinda Israel dhidi ya maadui zake mpaka mwisho,,,hebu fikiria kwanini hao wayahudi walikataa kuja uganda ambako wangeishi kwa Amani!?Usemi tu wa watu wavivu wa kufikiri
Kwa tarifa yako, Dunia bila Jews, hakuna taifa lenye nguvu kijeshi
Hitler alishindwa kuwafuta pamoja na ubabe wake sembuse hiko kibabu ayatollah na vikaragosi wake ndio wataweza?!Israel bila Marekani na mataifa kama Saudi Arabia na Jordan, angekuwa ameshafutika katika ramani ya. Dunia.
Iran ni debe tupu. Imeshindwa kumlinda rais wao akafa kizembe na helikopter ya mwaka 47.US mwenyewe kambi zake ziliteremshiwa missiles na Iran na hakuna air defense iliweza zuia.
Kauli za US ni kujaribu kuwatisha Iran lakini kipigo kipo pale pale.
Ila dunia Ina Mambo, kwa hiyo US anamuogopa Iran?? πππUS mwenyewe kambi zake ziliteremshiwa missiles na Iran na hakuna air defense iliweza zuia.
Kauli za US ni kujaribu kuwatisha Iran lakini kipigo kipo pale pale.
Ardhi yao ipo pale kwenye nchi ya ahadi ndio maana wako tayari kuipigania mpaka tone la mwisho.Labda dunia yako wewe usituhusishe na sisi walio ibadilisha dunia walikuwa majews!? Nikola Tesla, wright brothers,James watt,n.k ,,tatizo umekalilishwa na sitory za mtaani,, marekani anamlinda Israel kulingana na mkataba aliosaini na ye..,kwamba atailinda Israel dhidi ya maadui zake mpaka mwisho,,,hebu fikiria kwanini hao wayahudi walikataa kuja uganda ambako wangeishi kwa Amani!?
Mkuu Iran hawashindwi kuwalenga wakubwa wa Israel.Iran ni debe tupu. Imeshindwa kumlinda rais wao akafa kizembe na helikopter ya mwaka 47.
Imeshindwa kumlinda kibaraka wao gaidi haniye mpaka ametunguliwa kizembe akiwa amelala na bodyguard wake chumbani.
Kwanza kwanini Haniye alale na bodyguard chumba kimoja?!Mkuu Iran hawashindwi kuwalenga wakubwa wa Israel.
Israel na Iran wana mitazamo tofauti.
North korea ina kuchora tu msukuleUsemi tu wa watu wavivu wa kufikiri
Kwa tarifa yako, Dunia bila Jews, hakuna taifa lenye nguvu kijeshi
Hako kanchi kenu bila USA ni sawa na sisimizi tuuMarekani yasema kufuatia viashiria vya Amani kutoweka Mashariki ya Kati imelazimika kubadili Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Ili kulinda Israel.
Mabadiliko hayo yanahusu kupeleka vikosi hatari zaidi vya Kijeshi. Hata yanafuatia tishio la Ayatollah Khamenei anayejipanga kuishushia Kitu kizito Israel.
Chanzo: Al jazeera news
Soma pia: Ayatollah Khamenei atoa agizo zito kuwa Israel ipigwe moja Kwa moja
Albert Einstein the smartest physicist to ever grace this planet, whose laws helped developing nuclear weapons was a Jew. Let that sink in.Labda dunia yako wewe usituhusishe na sisi walio ibadilisha dunia walikuwa majews!? Nikola Tesla, wright brothers,James watt,n.k ,,tatizo umekalilishwa na sitory za mtaani,, marekani anamlinda Israel kulingana na mkataba aliosaini na ye..,kwamba atailinda Israel dhidi ya maadui zake mpaka mwisho,,,hebu fikiria kwanini hao wayahudi walikataa kuja uganda ambako wangeishi kwa Amani!?
Narudia tena, wa kuifuta Israel hayupo, marekani hata asipoisaidia!Labda dunia yako wewe usituhusishe na sisi walio ibadilisha dunia walikuwa majews!? Nikola Tesla, wright brothers,James watt,n.k ,,tatizo umekalilishwa na sitory za mtaani,, marekani anamlinda Israel kulingana na mkataba aliosaini na ye..,kwamba atailinda Israel dhidi ya maadui zake mpaka mwisho,,,hebu fikiria kwanini hao wayahudi walikataa kuja uganda ambako wangeishi kwa Amani!?
Wapi nimesema hivyo? Nimesema US kambi zake zilishambuliwa na akashindwa kuzuia mashambulizi iweje leo anasema atamlinda Israel?Ila dunia Ina Mambo, kwa hiyo US anamuogopa Iran?? πππ
Ingependeza wewe mkuu ukasaidie aiseeHako kanchi kenu bila USA ni sawa na sisimizi tuu
Iatabidi Gaza ndio waje Uganda, bila ya hivyo, basi wawe Waisrael tu hakuna namnaLabda dunia yako wewe usituhusishe na sisi walio ibadilisha dunia walikuwa majews!? Nikola Tesla, wright brothers,James watt,n.k ,,tatizo umekalilishwa na sitory za mtaani,, marekani anamlinda Israel kulingana na mkataba aliosaini na ye..,kwamba atailinda Israel dhidi ya maadui zake mpaka mwisho,,,hebu fikiria kwanini hao wayahudi walikataa kuja uganda ambako wangeishi kwa Amani!?
Sasa mbona wanashindwa kujilinda wenyewe hadi mabwana zake waingilie kati?Usemi tu wa watu wavivu wa kufikiri
Kwa tarifa yako, Dunia bila Jews, hakuna taifa lenye nguvu kijeshi