Marekani yasema Iran itaishambulia Israel saa 72 zijazo

Marekani yasema Iran itaishambulia Israel saa 72 zijazo

Tatizo la Iran hayuko sawa na majiran zake muhimu haviivi na majiran shida inaanzia hapo
wakati hayo yanaendelea, NATO walishakubaliwa na jordan kuweka makao kabisa pale, meaning, anga la nato lipo wazi kwa israel kupita na kupiga,na jordan atahusika pia kurungua rocket toka iran zinazopita kwenye anga lake bila ridhaa yake.
 
Iran anashangaza, intelijensia yao ni ndogo, sasa anashambulia halafu taarifa zimeshawafikia Israel, watu wameshajiandaa kuingia kwenye bunkers , Iron Dome na Arrow 2&3 , David Sling zimeshaandaliwa kwa ajili ya kuzima makombora, hakuna vita hapo lakini Israel anafanya mashambulizi bila Iran kujua.
Labda anafanya hivyo ili raia wa kawaida wa Israel wapate muda wa kujipanga kabla ya vyuma kutumwa.
 
Peace,

Marekani imetoa taarifa rasmi ya shambulio la vita kamili kwa Israel kutoka Iran, huku mamlaka za Iran zikionya vikali nchi za Quatar, Saudi Arabia na Egypt kutoruhusu anga lao kutumiwa na Israel vinginevyo Iran itazishambulia pia.
---
Iran and its allies threatened retribution on Thursday following the deaths of Hamas leader Ismail Haniyeh and Hezbollah commander Fuad Shukr, heightening regional tensions. As mourners filled Tehran's streets calling for revenge, Israel warned its adversaries of severe consequences for any retaliatory actions.

Iran and its regional allies vowed retaliation on Thursday for the deaths of Hamas and Hezbollah leaders, raising regional tensions as mourners filled Tehran's city centre calling for revenge.

A public funeral was held for Hamas's political chief Ismail Haniyeh in the Iranian capital where he was killed early Wednesday in an attack which Israel has not commented on.

Haniyeh's body was then flown to Qatar, where he had resided and where he is to be laid to rest on Friday, when his group called for a "day of furious rage" in the Palestinian territories and across the region.

Hezbollah chief Hassan Nasrallah, addressing the funeral of the Lebanese group's top military commander, said Israel and "those who are behind it must await our inevitable response" to Fuad Shukr's and Haniyeh's killings within hours of each other.

"You do not know what red lines you crossed," Nasrallah said, addressing Israel, a day after Shukr was killed in a strike in south Beirut.

Israel, which said Shukr's assassination was a response to deadly rocket fire last week on the annexed Golan Heights, warned its adversaries on Thursday they would "pay a very high price" for any "aggression".

"Israel is at a very high level of preparation for any scenario, both defensive and offensive," Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a statement.

"Those who attack us, we will attack in return."

A source close to Hezbollah told AFP that Iranian officials met in Tehran on Wednesday with representatives of the so-called "axis of resistance", a loose alliance of Tehran-backed groups hostile to Israel, to discuss their next steps.

"Two scenarios were discussed: a simultaneous response from Iran and its allies or a staggered response from each party," said the source who had been briefed on the meeting, requesting anonymity to discuss sensitive matters.

The leader of Yemen's Iran-backed Huthi rebels vowed a "military response" to Israel's "major escalation".
Analysts told AFP that the retaliation would be measured to avoid a wider conflagration.

Iran and the groups it backs "will more than likely try to avert a war, while also strongly deterring Israel from continuing with this new policy, this targeted shock and awe," said Amal Saad, a Hezbollah researcher and lecturer at Britain's Cardiff University.

In Tehran, Iran's supreme leader Ayatollah Ali Khamenei led prayers for Haniyeh having earlier threatened "harsh punishment" for his killing.

Read moreWho was Hamas leader Haniyeh, the ex-Palestinian PM killed in Tehran strike?

'Roaring marches'​

Crowds, including women shrouded in black, carried posters of Haniyeh and Palestinian flags in a procession and ceremony that began at Tehran University, an AFP correspondent reported.

Senior Iranian officials, including President Masoud Pezeshkian and Revolutionary Guards chief General Hossein Salami, attended the ceremony, state television images showed.

Iran's Revolutionary Guards announced the day before that Haniyeh and a bodyguard were killed in a pre-dawn strike Wednesday on their accommodation in Tehran.

The New York Times however reported, citing anonymous sources including two Iranian officials, that the blast was caused by an explosive device planted several months ago.

When asked about the report, Israeli military spokesman Daniel Hagari told reporters "there was no other Israeli aerial attack... in all the Middle East" on the night of Shukr's killing.

Qatar-based Haniyeh had been visiting Tehran for Pezeshkian's swearing-in on Tuesday.

Pezeshkian said Iran "will continue to support with firmer determination the axis of resistance", the official IRNA news agency said.

Qatar-based network Al Jazeera reported that the plane carrying Haniyeh's body had landed in Doha, where the Palestinian leader is to be buried following prayers at the Qatari capital's largest mosque.

Hamas called in a statement for a day of protests on Friday.

"Let roaring anger marches start from every mosque," it said.

Turkish President Recep Tayyip Erdogan called Haniyeh a "martyr" and announced a national day of mourning on Friday "in solidarity with the Palestinian cause". Pakistan too announced a national day of mourning.

Read moreFears of retaliation, regional conflict following killing of Hamas leader Ismail Haniyeh

Wakitaka waweze wafanye coordination ya pamoja kati ya Iran na Hezbollah Ili mvua ya drones ishuka kama pale kipindi kile tena ihusishe na makombora kabisa.
 
Vita vya huko tunaoathirika sana ni kama sasa hivi gharama za kuleta mizigo imekua kubwa na bei la mafuta ya Mwarabu hayapungui tena hao Vima wasitieshe vita having maana kwa karne hii anaewapiganisha wote ni USA wakati yeye kwake kupo sawa..
 
Netanyahu alipohutubia Bunge la Marekani, alisema, huu ni wakati sahihi wa Iran kupigwa, hili la kumuuwa kiongozi wa Gaza ndani ya Iran, ni kumwita na kumtoa nyoka pangoni tu!
 
Mlisema hivyo hivyo kwamba Iran hawezi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Mazayuni.

Kilichotokea hata dunia imepigwa na butwaa baada ya Muajemi kutangazia ulimwengu kwamba itaishambulia Israel ndani ya masaa machache na inatekeleza ahadi yake kwa kuiporomoshea drones na missiles Israel moja kwa moja.

Kama mashoga ya magharibi wangekuwa wanaiwinda Iran iingie mtegoni nadhani hiyo ndiyo ilikuwa fursa yao kuingia full scale war lakini walinywea.

Na this time kipigo kwa Mazayuni kitakuwa mara mbili yake na hakuna mashoga watakachomfanya Iran zaidi ya kuvizia kuuwa mtu lakini sio kuingia vitani na Iran.
Majibu yake si uliona rais wa iran aliporomoshwa na helcopta
 
Kuna vitu navishangaa sana ,Hivi hii michezo ya Kufir* na Kufirw* ipo sana upande Gani?

Ujasili wa kuwaita wengine mashoga mnapataga wapi na wakati madrasa maustadh ndo wanaongoza kulawiti watoto?

Hii mishoga/michezo ipo sana zenj,Tanga,kilwa,mafia,bagamoyo, kwa ujumla ukanda wote wa pwani,ambapo asilimia kubwa ni Muslims. Nguvu ya kunyooshea wengine kidole Cha ushoga mnatoaga wapi ????
Hata mimi nawashangaa waislamu wao sasahivi ndio wamegeuka kuwanyooshea wenzao vidole shoga wakati hii michezo ni yao na waarabu wao
 
Kuna vitu navishangaa sana ,Hivi hii michezo ya Kufir* na Kufirw* ipo sana upande Gani?

Ujasili wa kuwaita wengine mashoga mnapataga wapi na wakati madrasa maustadh ndo wanaongoza kulawiti watoto?

Hii mishoga/michezo ipo sana zenj,Tanga,kilwa,mafia,bagamoyo, kwa ujumla ukanda wote wa pwani,ambapo asilimia kubwa ni Muslims. Nguvu ya kunyooshea wengine kidole Cha ushoga mnatoaga wapi ????
Msisingizie dini.
Waswahili ulimbukeni wenu msisingizie wengine.
Arusha ndio inaongoza kwa ushoga sasa hivi nchini na huko idadi kubwa sio waislam.
ISRAEL USHOGA NI KITU KILICHORUHUSIWA na duniani hakuna TAIFA LA KISHOGA KUZIDI ISRAEL.
USA USHOGA UMERUHUSIWA.
Nenda nchi za kiarabu kalete USENGE wako uone kama haujakatwa kichwa.
 
Msisingizie dini.
Waswahili ulimbukeni wenu msisingizie wengine.
Arusha ndio inaongoza kwa ushoga sasa hivi nchini na huko idadi kubwa sio waislam.
ISRAEL USHOGA NI KITU KILICHORUHUSIWA na duniani hakuna TAIFA LA KISHOGA KUZIDI ISRAEL.
USA USHOGA UMERUHUSIWA.
Nenda nchi za kiarabu kalete USENGE wako uone kama haujakatwa kichwa.
Waarabu, wazungu, wamasai, wagweno, wakenya, wazanzibar. Ushoga ni tabia ya mtu si nchi. Imezuiwa, haijazuiwa watu wakiamua wanafanya tu, na huko uarabuni wanafanya pamoja na kukatana vichwa.
 
Telavi

Padre alikufir@ hadi akili zote zikakutoka ,umebakiza usaha tu kwenye fuvu hilo
Mbwa wewe
Pole huo ndiyo ukweli mafirana sana huko madrasa
Netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe

Pambana na hali yako halafu acha huo mchezo wako wa kifirana
 
itapendeza zaidi kama wakipigana na kuuwana nchi zote mbili ili pabaki patupu, ili nikajitwalie hekta zangu kadhaa kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji.

Za hapa bongo zinawashinda mnakuja Zanzibar kutafuta maisha
 
Waarabu, wazungu, wamasai, wagweno, wakenya, wazanzibar. Ushoga ni tabia ya mtu si nchi. Imezuiwa, haijazuiwa watu wakiamua wanafanya tu, na huko uarabuni wanafanya pamoja na kukatana vichwa.

Mbona umewasahau waafrika

Au humjuwi Nabii Tito ?? Ametokea Zanzibar pia ??
 
Wamejuaje?
Wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Ikiwa wanajua rocket iliyomuua ilifichwa miezi miwili kabla,unadhani hawana mkono humo? Siasa bwana,ni mchezo mchafu. Na ukiangalia kwa makini,utagundua,kila nchi,katika ngazi zote,kuna wasaliti. Kinachofanyika tu ni kuangalia namna ya kukabiliana nao,
 
Msisingizie dini.
Waswahili ulimbukeni wenu msisingizie wengine.
Arusha ndio inaongoza kwa ushoga sasa hivi nchini na huko idadi kubwa sio waislam.
ISRAEL USHOGA NI KITU KILICHORUHUSIWA na duniani hakuna TAIFA LA KISHOGA KUZIDI ISRAEL.
USA USHOGA UMERUHUSIWA.
Nenda nchi za kiarabu kalete USENGE wako uone kama haujakatwa kichwa.
Unasema? 🙆
Nawaza tu
Tufanye ni kweli Israel ni taifa la kishoga, yaani 99% ni gays.
_Swali langu ni kwanini mataifa yanayomcha Mungu wa kweli (Allah) yameshindwa kuliangamiza hilo taifa la kishoga?
_Iran inadaiwa kuwa na nguvu kuliko US, kwanini US anauwezo wa kum control Iran kwa vikwazo vya kiuchumi ili hali Iran hana uwezo wa kumwekea vikwazo US? (maana inadaiwa Us nao mashoga)
_Ushoga ni chukizo, kwa nini Allah haingilii na kuwaangamiza hao wanaofanya huo uchafu ili watu wake wema wakabaki na amani?

Ngoja nikapige supu ya buku 4 na chapati, nitarudi kuendelea kujiuliza.
 
Back
Top Bottom