ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Intelijensia yao ni ya viwango vya juu sana mkuu.Wamejuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intelijensia yao ni ya viwango vya juu sana mkuu.Wamejuaje?
Cc: Joanahmimi siyo shabiki wa nchi yoyote hapo.
nataka wachapane manyukilia waishe wote, ili kwa mimi kama kunguru ninayependa vita vya panzi iwe fursa kwangu kwa kumiliki eneo kubwa la ardhi.
😆😆😆 hiki ni kichekesho kwakweli.Anaenda kuuliwa huyo Ayatollah atakufa siku sio nyingi kila anaemgusa mwisrael kifo kipo mlangoni kwake sababu Israel ana mapandikizi Nchi zote Duniani namaanisha kila Nchi waisrael wapo
Iranã FM wametangaza kutangazia Nchi zingine za kiarabu km Saudi Arabia kuhusu hilo Jambo unafikiri wamarekani hata hapa hawasikilizi radio?Intelijensia yao ni ya viwango vya juu sana mkuu.
NeNetanyahu anajua zinaelekea wapi maana zilipopita juu ya bunge alienda kufanyia operation ya tezi dume sasa hizi zinazopita juu ya ikulu sijui atafanyiwa operation ya nini
Netanyahu atawamaliza nyie, hivi bado tu hamjamwelewa?.Netanyahu anajua zinaelekea wapi maana zilipopita juu ya bunge alienda kufanyia operation ya tezi dume sasa hizi zinazopita juu ya ikulu sijui atafanyiwa operation ya nini
Israel inaenda kumuua huyo Ayatollah subiri uanze kulia😆😆😆 hiki ni kichekesho kwakweli.
Kwamba washindwe kumuuwa kopindi amewapwlekea moto hadi kwenye ardhi yao.
Hivi unadhani Iran ni taifa dogo? Mashoga wa magharibi wameanza kuiwekea vikwazo Iran tangu mwaka 1979 hadi leo ili kuidhoofisha Iran lakini cha ajabu ndiyo inazidi kujiweka sawa kiuchumi na kijeshi.
Kwa operation ile ya tezi dume aliyofanyiwa Netanyahu baada ya kutishiwa fataki na Iran safari hii hatoboi maana zinapigwa missile live liveNe
Netanyahu atawamaliza nyie, hivi bado tu hamjamwelewa?.
Msilie tuKwa operation ile ya tezi dume aliyofanyiwa Netanyahu baada ya kutishiwa fataki na Iran safari hii hatoboi maana zinapigwa missile live live
Netanyahu kashakimbilia marekani maana anajua kinachoenda kutokeaMsilie tu
Huenda wamejulishwa na nchi za Misri, Qatar na Saudi Arabia mara baada ya Iran kuzijulisha nchi hizo kutomruhusu Israel kutumia anga zao wakati wa kujibu mashambulizi.Marekani wako juu sana kiintelejensia
Vita pande hizo hazijaanza jana wala juzi,,hivyo vitisho labda wanatishika makeyboard warrior wabongo waliopigwa limbwata na mwengeAnaenda kuuliwa huyo Ayatollah atakufa siku sio nyingi kila anaemgusa mwisrael kifo kipo mlangoni kwake sababu Israel ana mapandikizi Nchi zote Duniani namaanisha kila Nchi waisrael wapo
Muombe akusaidie kupata akili na kujitambua,bwege wewe.Mungu isadie Israel
Israel huwa anavizia Iran huwa anaitangazia dunia na anaishambulia kweli...Iran anashangaza, intelijensia yao ni ndogo, sasa anashambulia halafu taarifa zimeshawafikia Israel, watu wameshajiandaa kuingia kwenye bunkers , Iron Dome na Arrow 2&3 , David Sling zimeshaandaliwa kwa ajili ya kuzima makombora, hakuna vita hapo lakini Israel anafanya mashambulizi bila Iran kujua.
satellite and informersWamejuaje?
Mungu isadie Israel