Marekani yasema Iran itaishambulia Israel saa 72 zijazo

Marekani yasema Iran itaishambulia Israel saa 72 zijazo

Wamejuaje?
Wamesikia redioni..Iranas FM ati.Nadhani haisikiki Israel kule: Kumekucha tena CCM wanaenda kutubamiza tena na kitu kizito kichwani kwa mfumuko wa bei: Sababu imepatikana_ Vita vya Iran na Iran_ Mchumi wa shahada ya daraja la juu Madelu a.k.a Mwigulu Nchemba katika ubora wake.
 
Peace,

Marekani imetoa taarifa rasmi ya shambulio la vita kamili kwa Israel kutoka Iran, huku mamlaka za Iran zikionya vikali nchi za Quatar, Saudi Arabia na Egypt kutoruhusu anga lao kutumiwa na Israel vinginevyo Iran itazishambulia pia.

Waarabu wanafail sana short temper zao zinawaponza sana.
 
itapendeza zaidi kama wakipigana na kuuwana nchi zote mbili ili pabaki patupu, ili nikajitwalie hekta zangu kadhaa kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji.
Na mademu wabaki sio, ili Vijana wangu wasijichukulie sheria mkononi
 
Iran hawaziki na majeneza mi nakupa fursa ya ajira nenda na beleshi ya kuchimbia makaburi Israel utapiga sana hela kama unabisha baada ya wiki utakumbuka maneno yangu
Umesema Iran sasa umegeuzwa Meza umeelekea Israel Mzee Vipi?
 
Iran asiingie kichwa kichwa. Bora atulie aendelee kujijenga. Akikurupuka Atarudi ground zero.
Mlisema hivyo hivyo kwamba Iran hawezi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Mazayuni.

Kilichotokea hata dunia imepigwa na butwaa baada ya Muajemi kutangazia ulimwengu kwamba itaishambulia Israel ndani ya masaa machache na inatekeleza ahadi yake kwa kuiporomoshea drones na missiles Israel moja kwa moja.

Kama mashoga ya magharibi wangekuwa wanaiwinda Iran iingie mtegoni nadhani hiyo ndiyo ilikuwa fursa yao kuingia full scale war lakini walinywea.

Na this time kipigo kwa Mazayuni kitakuwa mara mbili yake na hakuna mashoga watakachomfanya Iran zaidi ya kuvizia kuuwa mtu lakini sio kuingia vitani na Iran.
 
Huyo kamanda hatanii lazima vyuma vitapepea kwenye ardhi ya Mazayuni.

Iran ni taifa tishio kuliko taifa lolote mashariki ya kati ndiyo maana Mazayuni na mabwana zao hawalali usiku na mchana wakipanga kuidhoofisha Iran lakini imeshindikana kwa miaka licha ya kila aina ya vikwazo.
Anaenda kuuliwa huyo Ayatollah atakufa siku sio nyingi kila anaemgusa mwisrael kifo kipo mlangoni kwake sababu Israel ana mapandikizi Nchi zote Duniani namaanisha kila Nchi waisrael wapo
 
mimi siyo shabiki wa nchi yoyote hapo.
nataka wachapane manyukilia waishe wote, ili kwa mimi kama kunguru ninayependa vita vya panzi iwe fursa kwangu kwa kumiliki eneo kubwa la ardhi.
Kwani wewe ni mjumbe kwenye ile Kenua kenua FC?

IMG_20220302_115525_094.jpg
 
Back
Top Bottom