MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Iran asiingie kichwa kichwa. Bora atulie aendelee kujijenga. Akikurupuka Atarudi ground zero.Wakati huo huo Super career na zaidi ya marines 4000 wako njiani kuelekea Middle East, hii kitu US alikuwa anaisubiri miaka mingi sana 😀 😀