Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump

Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump

Imenikumbusha series ya Vigil. Submarine ya Waingereza ilikizamisha ki fishing trawler cha wa Scotland, mwisho wa siku navy wanakwambia ndio sisi ndo tuliizamisha ila kwenye vyombo vya habari mnatakiwa mkaseme Warusi ndo wamekizamisha. Kumbe ndo michezo yao.
 
Unafikiri Kisasi cha Trump kwa Wairan hususan Ayatollah Ali Khamenei kitakuwaje?

Credit: BBC

Sabato Njema 😃
Fix za mchana....
Anayeipakazia Iran na njama za kutaka kumuondoa Trump, ndiye muhusika halisi.
Kiufupi wahusika halisi hawako mbali na vyombo vyao vya usalama....hasa ukizingatia proximity ya shooter na askari wa security service....wote wakiwa juu ya paa za nyumba zilizo karibu katika namna inayoonesha shooter na security service agents walionana....,ni kama vile walisubiri kwanza afyatue risasi,ndipo wamdungue dakika hiyo hiyo.
The case of the enemy within.
Kutafuta sababu ya kuishambulia Iran kwa hoja dhaifu ni utoto wa namna ile ile ya kusema Saddam kaficha silaha za maangamizi
 
Nilijuwa tu ni external infruence ndani ya Marekani hakuna mzungu mjinga wa kufanya vile!!

Iran inaenda kuwa Kama iraq
Usidanganyike ndugu...
Trump ana bahati lakini kimsingi ilikuwa AFE..na muuaji wake ni vyombo vya usalama America. Huwezi kupanda na silaha kwa ukaribu namna ile katika perimeter ambayo iko chini ya surveillance ya Security service. Kichekesho ni kwamba hata kwa kupitia footage ya BBC wenyewe, watu wa kawaida walioko chini walimuona shooter juu ya paa la lile jengo,wakawaonesha polisi walioko chini huyo mtu...lakini polisi wakapotezea.
Lakini kubwa ni hili..hilo eneo la juu ya paa ya majengo yote eneo lile yalikiwa ndani ya ulinzi....na kwa namna yoyote wadunguaji wa Security service walimuona vizuri tu.
Walisubiri kwanza ampige Trump,kisha wao wampige yeye kupoteza ushahidi..kisha wao wakapandikize fix za kumhusisha na Iran huyo mtu.
Kosa la Trump kwa vyombo vya usalama lililosababisha atake kutoleaa nje ya reli linafahamika vizuri tu.....,ni kutangaza kwamba akiingia madarakani hataidhinisha funds na silaha kuisaidia Ukraine, .kwamba yeye hapendi vita. Huo msimamo wake unaenda kinyume na wahafidhina wa America
 
Acheni kuwa mambumbumbu kila muambiwacho mnakubali. Hizo ni propaganda za Secret services za marekani kutaka kujiosha kuwa siyo wahusika wa njama za kumuua Trump wakati wao ndo wahusika wakuu
 
Back
Top Bottom