Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Unafikiri Kisasi cha Trump kwa Wairan hususan Ayatollah Ali Khamenei kitakuwaje?
Credit: BBC
Sabato Njema 😃
Karibia nyakati zote, Iran na makundi yake, hufanya makosa yale yale. Wanakuwa waanzishaji wa mauaji, wanapodhibitiwa, wanaanza kulialia. Mwaka 1948 waarabu walianzisha vita ya kuwaangamiza Waisrael, wakatandikwa vibaya, wakapoteza maeneo, wakaanza kulialia.
Mwaka 1967 wakaamzisha vita kubwa zaidi ili kuwamaliza wayahudi wasiwepo Duniani, wakaishia kupigwa zaidi, na kupoteza maeneo zaidi. Wakaendelea kulialia.
Mwakajana wakafanya shambulizi la maangamizi, jibu la wayahudi linaendelea mpaka leo, na vilio vimekuwa maradufu.
Hiyo Iran, mwaka 1979, waislam wenye misimamo mikali ya kishetani, waliwateka maafisa wa ubalozi wa Marekani mjini Tehran, majibu yake yakawa mwanzo wa vikwazo vya kiuchumi.
Iran imekuwa mfadhali mkuu wa ugaidi Duniani, jibu la Dunia limeyafanya maisha ya Iran kuwa duni kupindukia licha ya utajiri mkubwa wa mafuta. Sasa Iran kutaka kumwua Trump, jibu watalipata.