Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump

Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump

Unafikiri Kisasi cha Trump kwa Wairan hususan Ayatollah Ali Khamenei kitakuwaje?

Credit: BBC

Sabato Njema 😃
Lete vyanzo vilivyoshiba usikurupuke., sasa aliyetaka kumuua Trump ni mwanajesh mstaafu raia wa US akipigana vita Ukreaine kwa kujitolea wapi na wapi na Iran.
 
Irani ni level za Russia,china, German sio nchi ya kuvamia kindezi ndezi huyo tramp hawez kiuingia Iran akafaulu, walipochemka kipimdi hicho ndio basi Tena. Makundi TU aliyonayo ni very powerful ya kuweza kumtikisa Israeli Hezbollah kamfanya vibaya Israel Leo kundi la mwisho limeretreat na kuondoka Lebanon ijekua Iran? Red sea meli zaidi ya 200 zimetiwa kiberit houth mbele ya US na UK Hadi Leo wamefytua vibaya Sana mji mkuu wa yemen ije kua Iran,? Kumpiga Iran Ina maana Hezbollah, Shia Iraq, houth,Shia Syria, Hamas, Shia saudia wote hao wawe wametepeta kabisaaa ndio uingie Iran na kiduku pia usimsahau japo sina uhakika, lakina hao wengine ni vita mbaya kabisa ambayo west sidhani Kama wanaitamani
Upupu tu nyie ndio mlikua mnasema USA hawezi mpiga sadam
 
Nilijuwa tu ni external infruence ndani ya Marekani hakuna mzungu mjinga wa kufanya vile!!

Iran inaenda kuwa Kama iraq
Trump walianza kumshtaki asigombee na waliokafanya hivi walikuwa Wamarekani wenyewe, yule jamaa wa kwanza alimpiga risasi ya sikio alikuwa Pro Ukraine, ni mzaliwa wa Marekani ni mhafidhina ambaye hakutaka Trump ashinde cos alikuwa anasababusha upande wa Ukraine ushindwe dhidi ya Urusi sababu Trump angempa atakacho Putin.

Alafu leo eti hayo yaonekane kuwa ni Iran ndiyo iliratibu?
 
Trump atalipa kısası kibaya sana. Atashirikiana na Nentanyahu kutafuta maisha ya Ayatollah.

Iran walichukizwa sana na Trump kwa kitendo chake cha kumuuwa yule Solemani. Ilikuwa pigo kubwa sana kwa Iran
Sio kweli kwamba Iran alikuwa nyuma kujaribu kumuua Trump! Kwani nani alifungua kesi rukuki za kumzuia Trump asigombee Urais? Nani hakutaka Trump arudi madarakani kama sio wahafidhina wa Marekani?
 
Trump atamuachia Putin baadhi ya majimbo ya Ukraine, kisha aishambulie Iran Russia akipiga kimya.
Trump amuachie vipi putin majimbo ya ukrain ?
Putin kuanzia anachukua cremia alisaidiwa na Trump au?
Na huko Donbass kasaidiwa na trump au ?
Watu tunaona kua marekani kashikwa pabaya kila sehem
 
Hawa makondoo wanazani kila mtu hana akili kama wao
Dunia ya saiv ukiamua kua mjinga ni ww
Yaani kila kitu kipo wazi kua adui wa Trump walikua hao hao wazungu
Na mada zililetwa hapa nyingi tuh tukajadili leo
Kwa hio mkuu hawa watu wanajua kila kitu sema wanachuki wanazojua wao
Trump walianza kumshtaki asigombee na waliokafanya hivi walikuwa Wamarekani wenyewe, yule jamaa wa kwanza alimpiga risasi ya sikio alikuwa Pro Ukraine, ni mzaliwa wa Marekani ni mhafidhina ambaye hakutaka Trump ashinde cos alikuwa anasababusha upande wa Ukraine ushindwe dhidi ya Urusi sababu Trump angempa atakacho Putin.

Alafu leo eti hayo yaonekane kuwa ni Iran ndiyo iliratibu?
 
Ila nyie wabongo kumbe ni wajinga kiasi hiki!! Kwa hivyo kila kinachosemwa na Western media ni kweli?

Israel inaiendesha America na dunia. Wao wameshindwa kuwapiga Iran wakaona waanzishe propaganda ya kusema Iran ndio alitaka kumuua Trump. Hapo Israel inataka US iingie vitani na Iran.
.
 
Mjomba Bams Iran kama ingekuwa na mpango wa kuangamiza wayahudi wote duniani kama ulivyosema kwa nini isiangenza kuangamiza kwanza wayahudi walioko hapo hapo nyumbani,ikizingatiwa ipo jumuiya ya kiyahudi Iran,na isitoshe ina mwakilishi rasmi bungeni kwa mujibu wa katiba ya Iran.
Mwakilishi wa sasa jumiya hiyo ya kiyahudi bungeni ni bwana Homayayoon Sameh Yeh Najafamabadi.
Kuna kitu katika international politics hakipo kama kinavyoonekana kwa nje...au kama watu wanavyodhani.
Zama kidogo Bam, nakuamini.

Duuuh umenifungua macho
 
Unafikiri Kisasi cha Trump kwa Wairan hususan Ayatollah Ali Khamenei kitakuwaje?

Credit: BBC

Sabato Njema 😃
I’m sure 10000% ni watu wa US wenyewe tena wakubwa wa system ila wana redirect hizo shutuma Kwa nchi iliowaasi wao or wanaotaka kuipiga,since uongo uliotumika kumuua Saadam sijawahi waamini western countries hata cku moja wakiwa na lao watatumia uongo wote kutekeleza lao plus kilichoripoti ni chombo chao
 
Trump amuachie vipi putin majimbo ya ukrain ?
Putin kuanzia anachukua cremia alisaidiwa na Trump au?
Na huko Donbass kasaidiwa na trump au ?
Watu tunaona kua marekani kashikwa pabaya kila sehem
Mkuu, you maybe right. But I’m speaking with experience. Huwa wanageuka hawa watu.

Saddam walimgeuka wakamuachia msala marekani akapiga anavyotaka. Hadi kumuuwa Saddam.

Same with Libya and Ghaddafi. Kila mtu alijuwa Russia atamuwekea kifua.

Putin akiambiwa vita imalizike Ila aachiw majimbo aliyoyakamata kama anavyotaka, sintoshangaa akimchinjia İran baharini pamoja na kwamba Iran kamsaidia sana kwenye vita na Ukraine.

Tena ukizingatia sasa hivi Kiduku naye keshatuma majeshi na silaha kumsaidia Russia dhidi ya Ukraine.

Hata hivyo mahesabu ya Putin ni marefu sana, ambapo kusudio ni kuondoa dominance ya Marekani na NATO.

On the other side of the coin, hii vita inaifanya Russia iendelee kutajirika tu. Yani hii vita ni nzuri sana kwa mrusi maana uchumi wake unazidi kukua na mapato kuliko hata wakati ambapo vita haikuwepo.
 
Fix za mchana....
Anayeipakazia Iran na njama za kutaka kumuondoa Trump, ndiye muhusika halisi.
Kiufupi wahusika halisi hawako mbali na vyombo vyao vya usalama....hasa ukizingatia proximity ya shooter na askari wa security service....wote wakiwa juu ya paa za nyumba zilizo karibu katika namna inayoonesha shooter na security service agents walionana....,ni kama vile walisubiri kwanza afyatue risasi,ndipo wamdungue dakika hiyo hiyo.
The case of the enemy within.
Kutafuta sababu ya kuishambulia Iran kwa hoja dhaifu ni utoto wa namna ile ile ya kusema Saddam kaficha silaha za maangamizi
Hakika
 
Mkuu, wa watu humu JF walituambia Iran kwa sasa haitishwi na taifa lolote, sasa ngoja tuone ili tupate jibu.
 
Mpango huu umesukwa na Israel na lengo lao ni kuiingiza Marekani kwenye vita ya Moja kwa Moja na Iran. Tayari habari zimeshavuja
Screenshot_20241110-124625.png
Screenshot_20241110-124647.png
 
Mkuu, you maybe right. But I’m speaking with experience. Huwa wanageuka hawa watu.

Saddam walimgeuka wakamuachia msala marekani akapiga anavyotaka. Hadi kumuuwa Saddam.

Same with Libya and Ghaddafi. Kila mtu alijuwa Russia atamuwekea kifua.

Putin akiambiwa vita imalizike Ila aachiw majimbo aliyoyakamata kama anavyotaka, sintoshangaa akimchinjia İran baharini pamoja na kwamba Iran kamsaidia sana kwenye vita na Ukraine.

Tena ukizingatia sasa hivi Kiduku naye keshatuma majeshi na silaha kumsaidia Russia dhidi ya Ukraine.

Hata hivyo mahesabu ya Putin ni marefu sana, ambapo kusudio ni kuondoa dominance ya Marekani na NATO.

On the other side of the coin, hii vita inaifanya Russia iendelee kutajirika tu. Yani hii vita ni nzuri sana kwa mrusi maana uchumi wake unazidi kukua na mapato kuliko hata wakati ambapo vita haikuwepo.
Rep wakubwa na ma GOP wanamchukia sana Putin akina Lindsay graham na wengine Trump lazima apate wakati mgumu ndani ya chama chake kwanza..karibia wakubwa wote wa rep wanamchukia vibaya putin ..
 
Baada ya kushindwa kujisafisha sasa wameamua kuisingizia Iran kuwa ndo inataka kumuua Trump

[emoji631][emoji1130]#BREAKING: The US Received Intel of an Iranian Plot to Assassinate Donald Trump - CNN

This intel was allegedly obtained WEEKS before Thomas Matthew Crooks' attempted assassination of Trump, however, no connection between the two incidents have been made.

It is also alleged that after this information was obtained, Trump's Secret Service protection was ramped up.
---

Item 1 of 2 Republican presidential nominee and former U.S. President Donald Trump walks during Day 1 of the Republican National Convention (RNC) at the Fiserv Forum in Milwaukee, Wisconsin, U.S., July 15, 2024. REUTERS/Andrew Kelly

[1/2]Republican presidential nominee and former U.S. President Donald Trump walks during Day 1 of the Republican National Convention (RNC) at the Fiserv Forum in Milwaukee, Wisconsin, U.S., July 15, 2024. REUTERS/Andrew Kelly Purchase Licensing Rights, opens new tab

WASHINGTON, July 16 (Reuters) - The United States received intelligence in recent weeks about an Iranian plot to assassinate former President Donald Trump, CNN said on Tuesday, and a U.S. official said the Secret Service shared details of an increased threat with the Trump campaign.

The White House declined to comment, but said there were no indications that the suspected shooter in Saturday's attempted assassination of Trump had any foreign or domestic accomplices.

Iran said the accusations against it were "unsubstantiated and malicious."

U.S. officials have for years worried that Tehran would retaliate against Trump for his ordering of the January 2020 killing of Iranian military commander Qassem Soleimani.

“As we have said many times, we have been tracking Iranian threats against former Trump administration officials for years, dating back to the last administration," said Adrienne Watson, spokesperson for the White House National Security Council.

"These threats arise from Iran’s desire to seek revenge for the killing of Qassem Soleimani. We consider this a national and homeland security matter of the highest priority," she said.

CNN reported that the intelligence about the Iranian plot was passed on by a human source.

A U.S. official said that on learning of the increased threat, the National Security Council contacted the Secret Service, which added resources and assets for Trump's protection.

The Trump campaign was also made aware of an evolving threat, the official said.

In a statement to Reuters, Iran's mission to the United Nations in New York said "these accusations are unsubstantiated and malicious."

"From the perspective of the Islamic Republic of Iran, Trump is a criminal who must be prosecuted and punished in a court of law for ordering the assassination of General Soleimani. Iran has chosen the legal path to bring him to justice," Iran's statement said.

The Secret Service has been sharply criticized since the 20-year-old gunman who shot at Trump on Saturday was able to access a roof overlooking the rally and open fire, grazing Trump's ear, killing a rallygoer and wounding two other attendees.

President Joe Biden has ordered an independent review of how the gunman could have come so close to killing Trump, and the Secret Service also faces probes from Congress.

Get weekly news and analysis on the U.S. elections and how it matters to the world with the newsletter On the Campaign Trail. Sign up here.

Reporting by Steve Holland, Michelle Nichols and Jasper Ward; Editing by Susan Heavey, Eric Beech and Daniel Wallis

Reuters
Maskini Ayatollah ajiuzulu tu
Hawa watu wameshampania

Lakini nani aliyempa chuki juu ya TAIFA la Israel

Acha avune chuki ya kutaka kulifata TAIFA la Mungu wa Israel
 
Rep wakubwa na ma GOP wanamchukia sana Putin akina Lindsay graham na wengine Trump lazima apate wakati mgumu ndani ya chama chake kwanza..karibia wakubwa wote wa rep wanamchukia vibaya putin ..
Upo sahihi kabisa. Hata huyo Lindsay ni pro Ukraine
 
Back
Top Bottom