Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump

Unafikiri Kisasi cha Trump kwa Wairan hususan Ayatollah Ali Khamenei kitakuwaje?

Credit: BBC

Sabato Njema 😃
Lete vyanzo vilivyoshiba usikurupuke., sasa aliyetaka kumuua Trump ni mwanajesh mstaafu raia wa US akipigana vita Ukreaine kwa kujitolea wapi na wapi na Iran.
 
Upupu tu nyie ndio mlikua mnasema USA hawezi mpiga sadam
 
Nilijuwa tu ni external infruence ndani ya Marekani hakuna mzungu mjinga wa kufanya vile!!

Iran inaenda kuwa Kama iraq
Trump walianza kumshtaki asigombee na waliokafanya hivi walikuwa Wamarekani wenyewe, yule jamaa wa kwanza alimpiga risasi ya sikio alikuwa Pro Ukraine, ni mzaliwa wa Marekani ni mhafidhina ambaye hakutaka Trump ashinde cos alikuwa anasababusha upande wa Ukraine ushindwe dhidi ya Urusi sababu Trump angempa atakacho Putin.

Alafu leo eti hayo yaonekane kuwa ni Iran ndiyo iliratibu?
 
Trump atalipa kısası kibaya sana. Atashirikiana na Nentanyahu kutafuta maisha ya Ayatollah.

Iran walichukizwa sana na Trump kwa kitendo chake cha kumuuwa yule Solemani. Ilikuwa pigo kubwa sana kwa Iran
Sio kweli kwamba Iran alikuwa nyuma kujaribu kumuua Trump! Kwani nani alifungua kesi rukuki za kumzuia Trump asigombee Urais? Nani hakutaka Trump arudi madarakani kama sio wahafidhina wa Marekani?
 
Trump atamuachia Putin baadhi ya majimbo ya Ukraine, kisha aishambulie Iran Russia akipiga kimya.
Trump amuachie vipi putin majimbo ya ukrain ?
Putin kuanzia anachukua cremia alisaidiwa na Trump au?
Na huko Donbass kasaidiwa na trump au ?
Watu tunaona kua marekani kashikwa pabaya kila sehem
 
Hawa makondoo wanazani kila mtu hana akili kama wao
Dunia ya saiv ukiamua kua mjinga ni ww
Yaani kila kitu kipo wazi kua adui wa Trump walikua hao hao wazungu
Na mada zililetwa hapa nyingi tuh tukajadili leo
Kwa hio mkuu hawa watu wanajua kila kitu sema wanachuki wanazojua wao
 
Ila nyie wabongo kumbe ni wajinga kiasi hiki!! Kwa hivyo kila kinachosemwa na Western media ni kweli?

Israel inaiendesha America na dunia. Wao wameshindwa kuwapiga Iran wakaona waanzishe propaganda ya kusema Iran ndio alitaka kumuua Trump. Hapo Israel inataka US iingie vitani na Iran.
.
 

Duuuh umenifungua macho
 
Unafikiri Kisasi cha Trump kwa Wairan hususan Ayatollah Ali Khamenei kitakuwaje?

Credit: BBC

Sabato Njema 😃
I’m sure 10000% ni watu wa US wenyewe tena wakubwa wa system ila wana redirect hizo shutuma Kwa nchi iliowaasi wao or wanaotaka kuipiga,since uongo uliotumika kumuua Saadam sijawahi waamini western countries hata cku moja wakiwa na lao watatumia uongo wote kutekeleza lao plus kilichoripoti ni chombo chao
 
Trump amuachie vipi putin majimbo ya ukrain ?
Putin kuanzia anachukua cremia alisaidiwa na Trump au?
Na huko Donbass kasaidiwa na trump au ?
Watu tunaona kua marekani kashikwa pabaya kila sehem
Mkuu, you maybe right. But I’m speaking with experience. Huwa wanageuka hawa watu.

Saddam walimgeuka wakamuachia msala marekani akapiga anavyotaka. Hadi kumuuwa Saddam.

Same with Libya and Ghaddafi. Kila mtu alijuwa Russia atamuwekea kifua.

Putin akiambiwa vita imalizike Ila aachiw majimbo aliyoyakamata kama anavyotaka, sintoshangaa akimchinjia İran baharini pamoja na kwamba Iran kamsaidia sana kwenye vita na Ukraine.

Tena ukizingatia sasa hivi Kiduku naye keshatuma majeshi na silaha kumsaidia Russia dhidi ya Ukraine.

Hata hivyo mahesabu ya Putin ni marefu sana, ambapo kusudio ni kuondoa dominance ya Marekani na NATO.

On the other side of the coin, hii vita inaifanya Russia iendelee kutajirika tu. Yani hii vita ni nzuri sana kwa mrusi maana uchumi wake unazidi kukua na mapato kuliko hata wakati ambapo vita haikuwepo.
 
Hakika
 
Mkuu, wa watu humu JF walituambia Iran kwa sasa haitishwi na taifa lolote, sasa ngoja tuone ili tupate jibu.
 
Mpango huu umesukwa na Israel na lengo lao ni kuiingiza Marekani kwenye vita ya Moja kwa Moja na Iran. Tayari habari zimeshavuja
 
Rep wakubwa na ma GOP wanamchukia sana Putin akina Lindsay graham na wengine Trump lazima apate wakati mgumu ndani ya chama chake kwanza..karibia wakubwa wote wa rep wanamchukia vibaya putin ..
 
Maskini Ayatollah ajiuzulu tu
Hawa watu wameshampania

Lakini nani aliyempa chuki juu ya TAIFA la Israel

Acha avune chuki ya kutaka kulifata TAIFA la Mungu wa Israel
 
Rep wakubwa na ma GOP wanamchukia sana Putin akina Lindsay graham na wengine Trump lazima apate wakati mgumu ndani ya chama chake kwanza..karibia wakubwa wote wa rep wanamchukia vibaya putin ..
Upo sahihi kabisa. Hata huyo Lindsay ni pro Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…