Marekani yasikitishwa na Zelensky kukataa Dili la madini kuijenga upya UKRAINE

Marekani yasikitishwa na Zelensky kukataa Dili la madini kuijenga upya UKRAINE

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Ikiwa Ni katikati ya kuitafuta suluhu ya migogoro WA Ukraine na urusi.

Serikali ya marekani tayari ilishatuma ujumbe wake nchini saudia Arabia kukutaba na upande WA urusi ili kumaliza mgogoro WA Ukraine uliodumu mwaka WA 3 sasa.

Wakati huo huo, jijini Washington upo ujumbe Toka Ukraine Kwa ajili ya mashauriano hayo kuitafuta suluhu ya vita,uhakika WA USALAMA baada ya vita, pamoja na namna Ukraine mpya itakavyojengwa.

Miongoni mwa vipengele vya makubaliano waliyopewa Ukraine kuhusu maisha baada ya vita, Ni kwamba Tenda zote za ujenzi WA Ukraine mpya atapewa kampuni za kiMAREKANI.

Na serikali ya marekani ndo itawalipa wazabuni wote watakafanya shughuli zote za ujenzi ndani ya Ukraine, Tafsiri yake UKRAINE mpya itajengwa upya Bure Kwa 100% na serikali ya Donald Trump pamoja na kuwapa UKRAINE ruzuku ya dola billion 500 Kila mwaka Kwa ajili ya Kuendeleza miradi ya ujenzi baada ya makampuni ya kimarekani kuondoka ndani ya Ukraine.

Ila Kwa sharti Moja TU,
La kuipa serikali ya marekani hati miliki ya madini yote yanayopatikana katika ardhi ya Ukraine.

SHARTI HILI RAISI ZELENSKY KALIKATAA na Kutamka wazi kua NI SHARTI LA KINYONYAJI
 

Attachments

  • Screenshot_20250216-212708.png
    Screenshot_20250216-212708.png
    434.2 KB · Views: 2
Kumbe si afrika tu,hata kwa wazungu wenzao,!!! Wananyonywa
Ukisoma vizuri historia,

kabla ya Ile Berlin Conference,
Ulaya walishakaa Sana Kwa ajili scramble and partion for USSR.

Lengo waivamie na waigawane usovieti (urusi ya Sasa) wajibebee malighafi za bwerere.

Baada ya kupima na kuona jamaa hawaingiliki, ndo wakageuzia maboya uku AFRIKA.
 
Hata kipind Cha vita ya kagera,

Kipind vita inaendelea JKN alitulaghai kua CUBA Ni marafiki wema Sana , wanampatia silaha za Bure kabisa.

Baada ya vita, tukajikuta na deni kubwa Sana la taifa Sababu ya silaha tulizokua Tunakopeshwa kipind Chote cha vita.

Maisha yalikua magumu mno haijapata kutokea,

Na hiki ndicho kitaikuta ukraine
 
Back
Top Bottom