Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Huyo Mcongo kwa uchu wa madaraka sidhani kama anaweza kataa offer hiyo.Huu mtego pia kapewa Tshisekedi kule congo na Xi-ping Kwa ajili ya msaada wa kijeshi ili kuwafurusha m23
Ukiachana na kua ni mkataba wa hovyo ila pia Trump ana dharau, mikataba ya umilele ni ya kiwaki sana.