Marekani yasikitishwa na Zelensky kukataa Dili la madini kuijenga upya UKRAINE

Marekani yasikitishwa na Zelensky kukataa Dili la madini kuijenga upya UKRAINE

Sharti zito mno. Waru wapewe hati miliki ya madini halafu wewe wakujengee nyumba...!!! Ni bora zele atafute wachimba madini kisha fedha zitumike kujenga hizo nyumba na ukraine mpya
Na Kwa marekani,
Madini ndio kitu muhimu Sana kwake (hasa rare earth metals) maana hiyo sekta mchina amemshika pabaya Sana mmarekani
 
Ikiwa Ni katikati ya kuitafuta suluhu ya migogoro WA Ukraine na urusi.

Serikali ya marekani tayari ilishatuma ujumbe wake nchini saudia Arabia kukutaba na upande WA urusi ili kumaliza mgogoro WA Ukraine uliodumu mwaka WA 3 sasa.

Wakati huo huo, jijini Washington upo ujumbe Toka Ukraine Kwa ajili ya mashauriano hayo kuitafuta suluhu ya vita,uhakika WA USALAMA baada ya vita, pamoja na namna Ukraine mpya itakavyojengwa.

Miongoni mwa vipengele vya makubaliano waliyopewa Ukraine kuhusu maisha baada ya vita, Ni kwamba Tenda zote za ujenzi WA Ukraine mpya atapewa kampuni za kiMAREKANI.

Na serikali ya marekani ndo itawalipa wazabuni wote watakafanya shughuli zote za ujenzi ndani ya Ukraine, Tafsiri yake UKRAINE mpya itajengwa upya Bure Kwa 100% na serikali ya Donald Trump pamoja na kuwapa UKRAINE ruzuku ya dola billion 500 Kila mwaka Kwa ajili ya Kuendeleza miradi ya ujenzi baada ya makampuni ya kimarekani kuondoka ndani ya Ukraine.

Ila Kwa sharti Moja TU,
La kuipa serikali ya marekani hati miliki ya madini yote yanayopatikana katika ardhi ya Ukraine.

SHARTI HILI RAISI ZELENSKY KALIKATAA na Kutamka wazi kua NI SHARTI LA KINYONYAJI
Baada ya hii vita kuisha Ukraine asitafute security guarantee kutoka nchi yoyote. Atafute namna ya kununua au kutengeneza nuclear hata kwa njia za magendo, hii ndicho kitu pekee kitakachoizuia Urusi ikiwa ni pamoja na kurudisha maeneo yake.
 
Japo kuwa ni swala la kinyonyaji lakin trump nimempenda yuko kwa ajili ya maslahi ya nchi yake

Siyo kama hawa akina bi tozo wa Tanganyika
 
Back
Top Bottom