Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamtaja mangungo!?..Zelensky anasema mkatana wa usa ni mara mia ya mkataba wa mangungo wa Msovero kuliko huu wa usa. Jamaa amekataa.
Maslahi ya nchi yake au maslahi yake na mabepari wenzie?Japo kuwa ni swala la kinyonyaji lakin trump nimempenda yuko kwa ajili ya maslahi ya nchi yake
Siyo kama hawa akina bi tozo wa Tanganyika
Acha uwongo,ndovu kiasi gani wanaweza fidia gharama za reli ya tazara?NYERERE nae akiambiwa hivyohivyo wakati wa ombi ujenzi wa TAZARa ....akaona ohoo isiwe tabu....akageukia china china masharti yalikuwa sio yamadini ila tembo walikoma kulinga(ndovu,)
Ilibidi chini mpaka wafungue na hotel ya chakula Cha kichina kumbe uwongo eneo la kupangia ndovu kusafirishwa
Rejeeni ,Ile KESI ya mama wa ndovu (1975 aliletwa kwakazi Moja tu
Unaweza kuingia kwenye rekodi za kuuza nchi kwa mabepari na ukalaaniwa maisha yoteHa ha ha....Kwanini mkuu
Haaaaa...huku kwetu wanachukua bila kutujengea chochote.Sharti zito mno. Waru wapewe hati miliki ya madini halafu wewe wakujengee nyumba...!!! Ni bora zele atafute wachimba madini kisha fedha zitumike kujenga hizo nyumba na ukraine mpya
Kabisa mkuu,hawa jamaa hawatoi kitu bure,,halafu viongozi wetu sijui kwanini huwa wanadanganya ati msaada!!!,,nakumbuka hata issue ya chanjo ya korona,haikuwa bure kama tulivokuwa tukiambiwa,,tena nchi zetu zilikuwa zinalazimishwa.Ulidhani silaha nzitonzito alizokua akipeleka Joe Biden nilikua ni nini kama sio mahari?
Hilo la mke tu.... mbona sharti dogo sanaNi sawa na mimi nikuambie, nitakujengea nyumba, kusomesha watoto wako, kwa sharti la kunipa mkeo niishi naye; je ungeweza?
Vinginevyo, wakubaliane iwe ndani ya miaka isiyozidi 5 katika umiliki.
EU sio Afrika elewa hilo , EU wanajua kumruhusu Putin aiteke Ukraine kesho itamfanya atamani kusogea ndan zaid ya Ulaya , EU haitakubali kbsIpo wazi... Ona sasa wakubwa wamekaa mezani huku Ukraine ikiwa ndio kifungua kinywa
Nionavyo mimi Ukoloni unarudi kwa mlango wa nyuma, na hasa kwa kutumia misaada. Unapewa misaada ya bure kabisa , hulipii chochote lakini unapewa masharti ambayo ukiyafuata, utahatarisha Uhuru wako. Fikiria unajengewa majumba na miundombinu yote iliyoharibiwa kwa sharti la kuachia madini yako yote kwa huyo anayekupa Msaada! Aliyasema Mwalimu, kutegemea mikopo na misaada hatima yake tutaupoteza Uhuru wetu.Trump bwana, angesema tu hataki kuwasaidia hao Ukraine,sasa ndio sharti gani hilo amewapa!
Alijua watagoma tu ili baadae asilaumiwe.
Hiyo offer bado unakuwa ni Hobson's choice! Ukimwachia umiliki kwa miaka mitano, uwe na hakika utaishia kubaki na mashimo matupu! Atahakikisha anayachimba 24/7, hakuna kulala. Kwa teknolojia aliyonayo mwisho wa miaka mitano huna kitu.Ni sawa na mimi nikuambie, nitakujengea nyumba, kusomesha watoto wako, kwa sharti la kunipa mkeo niishi naye; je ungeweza?
Vinginevyo, wakubaliane iwe ndani ya miaka isiyozidi 5 katika umiliki.
Unafikiri dunia inacheka na wajingaKumbe si afrika tu,hata kwa wazungu wenzao,!!! Wananyonywa
Hii iko waziNa hata usipokuwa na jinsia watu watatafuta namna yoyote ulipe ulichokula...!🤣
Hiyo offer bado unakuwa ni Hobson's choice! Ukimwachia umiliki kwa miaka mitano, uwe na hakika utaishia kubaki na mashimo matupu! Atahakikisha anayachimba 24/7, hakuna kulala. Kwa teknolojia aliyonayo mwisho wa miaka mitano huna kitu.