Marekani yasikitishwa na Zelensky kukataa Dili la madini kuijenga upya UKRAINE

Sharti zito mno. Waru wapewe hati miliki ya madini halafu wewe wakujengee nyumba...!!! Ni bora zele atafute wachimba madini kisha fedha zitumike kujenga hizo nyumba na ukraine mpya
Na Kwa marekani,
Madini ndio kitu muhimu Sana kwake (hasa rare earth metals) maana hiyo sekta mchina amemshika pabaya Sana mmarekani
 
Baada ya hii vita kuisha Ukraine asitafute security guarantee kutoka nchi yoyote. Atafute namna ya kununua au kutengeneza nuclear hata kwa njia za magendo, hii ndicho kitu pekee kitakachoizuia Urusi ikiwa ni pamoja na kurudisha maeneo yake.
 
Japo kuwa ni swala la kinyonyaji lakin trump nimempenda yuko kwa ajili ya maslahi ya nchi yake

Siyo kama hawa akina bi tozo wa Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…