Marekani yasikitishwa na Zelensky kukataa Dili la madini kuijenga upya UKRAINE

Ni nzuri kwake
 
Hapo hakuna kipya, kilichobadilika ni rais kuliongea wazi, lakini nchi zote zilizovamiwa kimabavu na US na EU hasa mashariki ya kati chanzo ni tamaa za mali asili zao, Iraq, Syria, Libya n.k
Kwamba USA ilimuingiza Cha UKRAINE vitani maksudi ili kuyamendea madini yake
Baada ya hii vita kuisha Ukraine asitafute security guarantee kutoka nchi yoyote. Atafute namna ya kununua au kutengeneza nuclear hata kwa njia za magendo, hii ndicho kitu pekee kitakachoizuia Urusi ikiwa ni pamoja na kurudisha maeneo yake.
Nyuklia ARSENAL zote alishakabidhi kwa ISA
 
Unaumwa nini hata mimi ningekataa
 
Sharti zito mno. Waru wapewe hati miliki ya madini halafu wewe wakujengee nyumba...!!! Ni bora zele atafute wachimba madini kisha fedha zitumike kujenga hizo nyumba na ukraine mpya
Bila msaada wa Marekani hao Ukraine hawawezi kuendesha serikali yao hata kwa siku 10.
Wakubali vinginevyo kuna machafuko na mapinduzi ya serikali yatawakuta.
 
Za ndani kutokea huku kata ya Uzogole,
Ni kuwa trump alimwongelesha zele kwenye simu kama bwana na mchepuko, huku akimkaripia na kumpa masharti wakati maongezi yake na putin yalijaa bashasha kama vile putin alikuwa anaongea na mshenga wake...
Sasa zele ameshaona rangi zote, kilichobaki ni ameamua kufa kiume, na ameshaanza kuongea mbovu kuhusu trump kwa wafadhili wake wa ulaya ambao leo wameitisha kikao cha dharura kumnanga trump....
 
NYERERE nae akiambiwa hivyohivyo wakati wa ombi ujenzi wa TAZARa ....akaona ohoo isiwe tabu....akageukia china china masharti yalikuwa sio yamadini ila tembo walikoma kulinga(ndovu,)

Ilibidi chini mpaka wafungue na hotel ya chakula Cha kichina kumbe uwongo eneo la kupangia ndovu kusafirishwa

Rejeeni ,Ile KESI ya mama wa ndovu (1975 aliletwa kwakazi Moja tu
 

Mkuu bagamoyo pekua pekua uko maktaba, tuisome habari ya hiyo kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…