Baada ya mifumo ya ulinzi ya Marekani ambayo walikuwa wakiiamini sana kupigwa na kuharibiwa na majeshi ya Russia, kwa kutumia makombora ya kinzhai, leo Marekani amepiga marufuku ndege zake aina ya F -16 zisipelekwe ukraine wala kuwafundisha askali wa ukraine.
Hii Ni baada ya kugundua kwamba Russia technologia yao iko juu sana hizo ndege zitadunguliwa na kuharibu soko lake kwa nchi mbalimbali duniani ambao wamezinunua. Kwani pia tayari makombora toka uingereza nayo yameshadunguliwa kama senene uko Ukraine japo waliyafanyia promotion sana yakakutana na kisiki Cha mpingo.
Storm Shadow za UK nazo ninachakazwa Kama kumbi kumbi