Marekani yasitisha zoezi la kupeleka ndege vita F -16 baada ya mifumo yake ya ulinzi kudunguliwa uko Ukraine

Marekani yasitisha zoezi la kupeleka ndege vita F -16 baada ya mifumo yake ya ulinzi kudunguliwa uko Ukraine

Wewe ndio hauna akili yahani wewe ni PUMBAFU

Marekani amesema ndege zake ni marufuku KUPEREKWA Ukraine. Yaani kuna nchi zilinunua hizo ndege kutoka marekani na wanataka kuzituma Ukraine na marekani amewapiga stop

Na kila kitu alichopeleka aibu imemludia mwenyewe[emoji1787][emoji1787]
Ndege nikishaanunua ananipangiaje tana jamani
 
Nathan hana alijualo huyo mpaka sasa kwa kumsaidia tu , patroit ndio mfumo wa kizazi kijacho kwa Marekani yani ndio mfumo wake anaoutegegea na bei yake ni kubwa kuliko S400 , MAREKANI ana THAAD wa kizamani na hiyo mpya kwahiyo kwa kupigwa patroit maana yake mpaka sasa Marekani yupo uchi .na Uturuki walitaka kununua patroit wakaghaili wakanunua S400nadhan sahiz wanachekea chooni hivi

Tatizo hamfahamu how patriot works, the way umeandika hapa ni as if mfumo mzima umesambaratishwa kumbe ni launcher moja tu, tena imekuwa damaged sehem ndogo, launcher zingine ziko online. Huu mfumo ukitaka kuusambaratisha pia control yake ambapo ndio radar ipo, launcher hazotofanya kazi. It simple
 
Huu vita kiasi kikubwa imeivua nguo USA ile world superiority yake...
That's why trump alisema asingeubali hii itokee

Bado sana haija ivua nguo, for the record us hajapeleka 100% full force, anavyopeleka si vile ambavyo anategemea saana. Ukicheki most of the hawapeleki latest tech kwann?
 
Hivo vindege kazi yake ni kutungulia mapulizo ya China
 
Wewe ndio hauna akili yahani wewe ni PUMBAFU

Marekani amesema ndege zake ni marufuku KUPEREKWA Ukraine. Yaani kuna nchi zilinunua hizo ndege kutoka marekani na wanataka kuzituma Ukraine na marekani amewapiga stop

Na kila kitu alichopeleka aibu imemludia mwenyewe🤣🤣
Usipoteze muda kujibu vichaa
 
Ndege nikishaanunua ananipangiaje tana jamani
Kuna Sheria zake huwezi kumpa third party bila manufacturer kujua. Maana anaweza kucopy na kutengeneza kama hizo. Zikiangukia mikononi mwa Russia, Russia atafanya analysis kujua weakness zake na strength zake na kuja na kitu mbadala super kuzidi hizo ndege. Kwa ndo maana kwenye contract za mauziano kuna kipengere ambacho mnunuzi hatakiwi kumupa mtu wa tatu bila mtengenezaji kujua na kutoa ruhusa, ukienda kinyume Sheria zipo za kimataifa.
 
Tena wanatakiwa silaha zao zishindwe mpaka wapate aibu. Hizo silaha wanazozipeleka huko ukraine zinatakiwa ziharibiwe zote russia apate ushindi wa kihistoria kwa kuziharibu silaha kali za mataifa yenye nguvu kubwa
 
Screenshot_20230519-183218_Chrome.jpg
 
Tatizo hamfahamu how patriot works, the way umeandika hapa ni as if mfumo mzima umesambaratishwa kumbe ni launcher moja tu, tena imekuwa damaged sehem ndogo, launcher zingine ziko online. Huu mfumo ukitaka kuusambaratisha pia control yake ambapo ndio radar ipo, launcher hazotofanya kazi. It simple
Wewe ndio hujaelewa ndugu. Kilichoshambuliwa ni mfumo mzima unaocontrol radar na hizo launchers. Ukraine wamebaki na mfumo mmoja kwani walipewa miwili.
 
Wewe ndio hujaelewa ndugu. Kilichoshambuliwa ni mfumo mzima unaocontrol radar na hizo launchers. Ukraine wamebaki na mfumo mmoja kwani walipewa miwili.

Nope check your facts again, mfumo mzima ungeondoka wangehaha sana, na huo mfumo uko zaidi ya mmoja. Si kuhesabu miwili nope
 
Tatizo hamfahamu how patriot works, the way umeandika hapa ni as if mfumo mzima umesambaratishwa kumbe ni launcher moja tu, tena imekuwa damaged sehem ndogo, launcher zingine ziko online. Huu mfumo ukitaka kuusambaratisha pia control yake ambapo ndio radar ipo, launcher hazotofanya kazi. It simple
Mkuu unazunguka Sana kifupi mfumo umelipuliwa hauwezi kufanya kazi, labda upelekwe gereji.
 
Mkuu unazunguka Sana kifupi mfumo umelipuliwa hauwezi kufanya kazi, labda upelekwe gereji.

Kiufupi ni kuwa una based kwenye porojo sana, ingia kwenye technical capability ,ops na weakness za mfumo. I dont argue based on maneno ya vijiweni
 
Back
Top Bottom