Ndege nikishaanunua ananipangiaje tana jamaniWewe ndio hauna akili yahani wewe ni PUMBAFU
Marekani amesema ndege zake ni marufuku KUPEREKWA Ukraine. Yaani kuna nchi zilinunua hizo ndege kutoka marekani na wanataka kuzituma Ukraine na marekani amewapiga stop
Na kila kitu alichopeleka aibu imemludia mwenyewe[emoji1787][emoji1787]
Nathan hana alijualo huyo mpaka sasa kwa kumsaidia tu , patroit ndio mfumo wa kizazi kijacho kwa Marekani yani ndio mfumo wake anaoutegegea na bei yake ni kubwa kuliko S400 , MAREKANI ana THAAD wa kizamani na hiyo mpya kwahiyo kwa kupigwa patroit maana yake mpaka sasa Marekani yupo uchi .na Uturuki walitaka kununua patroit wakaghaili wakanunua S400nadhan sahiz wanachekea chooni hivi
Huu vita kiasi kikubwa imeivua nguo USA ile world superiority yake...
That's why trump alisema asingeubali hii itokee
Usipoteze muda kujibu vichaaWewe ndio hauna akili yahani wewe ni PUMBAFU
Marekani amesema ndege zake ni marufuku KUPEREKWA Ukraine. Yaani kuna nchi zilinunua hizo ndege kutoka marekani na wanataka kuzituma Ukraine na marekani amewapiga stop
Na kila kitu alichopeleka aibu imemludia mwenyewe🤣🤣
Ile sio chupi, unanunua kwa kusaini makubalianoNdege nikishaanunua ananipangiaje tana jamani
Wale waliokuwa wana doubt kuwa huenda khinzal haikufanya kitu sasa mnaanza kupata majibu sahihi
khinzal noma sana yaani kitendo cha kuliona kwenye mfumo, muda huo huo unasikia PAAAh! Mchezo umekwisha
Sawa na Dubu akutie jino la Mbupusawa na mamba kakushika mguu ndani ya mto kujiokoa ni ngumu..
🤣🤣🤣🤣🤣Sawa na Dubu akutie jino la Mbupu
Kuna Sheria zake huwezi kumpa third party bila manufacturer kujua. Maana anaweza kucopy na kutengeneza kama hizo. Zikiangukia mikononi mwa Russia, Russia atafanya analysis kujua weakness zake na strength zake na kuja na kitu mbadala super kuzidi hizo ndege. Kwa ndo maana kwenye contract za mauziano kuna kipengere ambacho mnunuzi hatakiwi kumupa mtu wa tatu bila mtengenezaji kujua na kutoa ruhusa, ukienda kinyume Sheria zipo za kimataifa.Ndege nikishaanunua ananipangiaje tana jamani
Wewe ndio hujaelewa ndugu. Kilichoshambuliwa ni mfumo mzima unaocontrol radar na hizo launchers. Ukraine wamebaki na mfumo mmoja kwani walipewa miwili.Tatizo hamfahamu how patriot works, the way umeandika hapa ni as if mfumo mzima umesambaratishwa kumbe ni launcher moja tu, tena imekuwa damaged sehem ndogo, launcher zingine ziko online. Huu mfumo ukitaka kuusambaratisha pia control yake ambapo ndio radar ipo, launcher hazotofanya kazi. It simple
Wewe ndio hujaelewa ndugu. Kilichoshambuliwa ni mfumo mzima unaocontrol radar na hizo launchers. Ukraine wamebaki na mfumo mmoja kwani walipewa miwili.
Mkuu unazunguka Sana kifupi mfumo umelipuliwa hauwezi kufanya kazi, labda upelekwe gereji.Tatizo hamfahamu how patriot works, the way umeandika hapa ni as if mfumo mzima umesambaratishwa kumbe ni launcher moja tu, tena imekuwa damaged sehem ndogo, launcher zingine ziko online. Huu mfumo ukitaka kuusambaratisha pia control yake ambapo ndio radar ipo, launcher hazotofanya kazi. It simple
Mkuu unazunguka Sana kifupi mfumo umelipuliwa hauwezi kufanya kazi, labda upelekwe gereji.