Marekani yatangaza kuweka ushuru wa asilimia 245 kwa baadhi ya bidhaa kutoka China

Codehood

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2021
Posts
471
Reaction score
1,056
Marekani imeongeza ushuru kwa baadhi ya bidhaa kutoka China hadi kufikia asilimia 245. Hii ni kutokana na ushuru wa kulipiza kisasi, ushuru wa bidhaa zinazohusiana na fentanyl, pamoja na ushuru wa ziada chini ya sheria ya kifungu cha 301.

Bidhaa kama magari ya umeme na sindano zimeathirika zaidi, kwani zote zinatozwa ushuru wa asilimia 100 chini ya kifungu hicho na hazijasamehewa kwenye ushuru mwingine.

Trump amesema China ndiyo inapaswa kuchukua hatua ya kuanzisha mazungumzo ya biashara. Pia amesema kuna ujumbe kutoka Japan unaokuja White House kujadili masuala ya ushuru na ushirikiano wa kijeshi.

=================================

Some imports from China now face a maximum tariff rate of up to 245%, a White House official confirmed Wednesday.

A fact sheet posted on the White House website Tuesday mentioned that Chinese imports face a maximum 245% tariff, far beyond the 145% upper threshold previously reported. That figure included a 125% reciprocal tariff imposed by President Donald Trump this month as well as additional 20% fentanyl-related tariffs.

The White House official said some goods are subject to additional duties, known as Section 301 tariffs, that seek to address unfair trade practices. The penalties range from roughly 7.5% to 100%, meaning some Chinese goods now face a total US tariff of 245%.

Electric vehicles and syringes both have Section 301 tariffs of 100% "so those products are hit with a total tariff of around 245% after you factor in the fentanyl tariffs and reciprocal tariff from which neither product is excluded," the official said.

Trump said Tuesday that he believes China, not the US, needs to step forward to open trade negotiations as the world's top two economies engage in a spiraling tariff war.

"The ball is in China's court. China needs to make a deal with us. We don't have to make a deal with them," Trump said in a statement read aloud to reporters by spokesperson Karoline Leavitt. "There's no difference between China and any other country, except they are much larger and China wants what we have.”

Trump said earlier Wednesday that a delegation from Japan is headed to the White House today to negotiate on tariffs, military support for Tokyo and what he called "trade fairness."

"I will attend the meeting, along with Treasury & Commerce Secretaries. Hopefully something can be worked out which is good (GREAT!) for Japan and the USA!" he wrote on social media.

Source: AA
 
Trump he's comedian,yeye ndo anayeongeza ushuru na yeye ndo anayeongelea mazungumzo juu ya viushuru vyake,ila mwenzie yupo kimya tu sasa sijui mchina akiendelea kuuchuna mpk mwisho wa huu mwaka USA itakuwaje!!!itoshe to kusema USA R.I.P sioni mchina akihitaji mazungumzo kwenye hili
 
Acha wanyoshane kidogo mkuu
 
Marekani imeongeza ushuru kwa baadhi ya bidhaa kutoka China hadi kufikia asilimia 245. Hii ni kutokana na ushuru wa kulipiza kisasi, ushuru wa bidhaa zinazohusiana na fentanyl, pamoja na ushuru wa ziada chini ya sheria ya kifungu cha 301.

Bidhaa kama magari ya umeme na sindano zimeathirika zaidi, kwani zote zinatozwa ushuru wa asilimia 100 chini ya kifungu hicho na hazijasamehewa kwenye ushuru mwingine.

Trump amesema China ndiyo inapaswa kuchukua hatua ya kuanzisha mazungumzo ya biashara. Pia amesema kuna ujumbe kutoka Japan unaokuja White House kujadili masuala ya ushuru na ushirikiano wa kijeshi.

=================================

Some imports from China now face a maximum tariff rate of up to 245%, a White House official confirmed Wednesday.

A fact sheet posted on the White House website Tuesday mentioned that Chinese imports face a maximum 245% tariff, far beyond the 145% upper threshold previously reported. That figure included a 125% reciprocal tariff imposed by President Donald Trump this month as well as additional 20% fentanyl-related tariffs.

The White House official said some goods are subject to additional duties, known as Section 301 tariffs, that seek to address unfair trade practices. The penalties range from roughly 7.5% to 100%, meaning some Chinese goods now face a total US tariff of 245%.

Electric vehicles and syringes both have Section 301 tariffs of 100% "so those products are hit with a total tariff of around 245% after you factor in the fentanyl tariffs and reciprocal tariff from which neither product is excluded," the official said.

Trump said Tuesday that he believes China, not the US, needs to step forward to open trade negotiations as the world's top two economies engage in a spiraling tariff war.

"The ball is in China's court. China needs to make a deal with us. We don't have to make a deal with them," Trump said in a statement read aloud to reporters by spokesperson Karoline Leavitt. "There's no difference between China and any other country, except they are much larger and China wants what we have.”

Trump said earlier Wednesday that a delegation from Japan is headed to the White House today to negotiate on tariffs, military support for Tokyo and what he called "trade fairness."

"I will attend the meeting, along with Treasury & Commerce Secretaries. Hopefully something can be worked out which is good (GREAT!) for Japan and the USA!" he wrote on social media.

Source: AA
Sasa huu ni utoto.

Nyau de adriz
 
TRAMP analazimisha kutengeza usawa wa Kibiashara Usiowezekana ndio tatizo kuuu !!!!

Mchina kwasasa yupo kwenye Project kubwa ya Kusambaza Viwanda ktk Nchi nyingi !!!

! Mchina ataweza kuingiza Bidhaa MAREKAN kupitia mlango wa uhani !!!!

Yani kutokea nchi Zengine apo ndio Tramp atakwama Vibayaa !!!!

Mchina anautanua mgogolo mwisho wa Siku vyovyote Marekani ataamua Bado mnufaika atabaki Mchina !!!!

manake akichukua atua kwa bidhaa za nchi ya tatu niyeye Marekani ataongeza wigo wa kujipiga pini !!!!

uku Mchina akiongeza Ushawishi zaid akiwa Free kufanyakazi na nchi nyingi zaid.
 
Back
Top Bottom