Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

Kwan bashite ni Muislam?
 
Kujifia kivipi MKUU ?!
No talks bro..

Huawei walikuwa ni moja ya kampuni ya simu iliyokuwa inauza sana ila baada ya ban ya U.S hakuna simu iliyotoka na kukimbiza kama kina Mate 30 pro..huko ndo mwanzo wa kujifia niliouzungumzia
 
Mimi sijataka tafsiri MKUU aliotaka mwengine mimi najua nikitaka huwez ukanipa zaidi yakuruka ruka tu huku na kule kama unaweza nambie ugaidi ninini na gaidi ninani niyupi ?!
 
Simu zipi hizo zinazoongoza kwenye hayo mauzo yao?...

Source ya hii Data ni ipi mkuu??..Maana wachina kila mtu anawajua
 
Unaweza ukaleta takwimu kutetea hoja yako hii MKUU namimi nilete takwimu kutetea hoja yangu ?!
 
Simu zipi hizo zinazoongoza kwenye hayo mauzo yao?...

Source ya hii Data ni ipi mkuu??..Maana wachina kila mtu anawajua
Halaf unambie unataka data kutoka kwenye source ipi nakama hio unayotaka utakua tayar tuilete kuanzia miaka mitatu nyuma mpaka sasa......
 
Mimi sijataka tafsiri MKUU aliotaka mwengine mimi najua nikitaka huwez ukanipa zaidi yakuruka ruka tu huku na kule kama unaweza nambie ugaidi ninini na gaidi ninani niyupi ?!
Sasa mbona nimemjibu jamaa tafsiri ya gaidi jamaa akapinga na wewe ukamuunga mkono. Ina maana kile nilichojibu sio tafsiri ya gaidi?
Terrorist sio tafsiri (translation) ya Gaidi?
 
Bashite kazuiwa kwa sababu ya kupiga kelele kuhusu ushoga, mm sio shabiki wake lakini ukweli mkubwa ndio huo, sio kila anaezuiliwa kuingia us ni muovu, mara nyingi marekani anaangalia maslah yake
Bashite naye kapigwa pini kwenda US, ndo ujue yoyote yule muovu anazuiwa bila kujali dini yake.
 
Bashite kazuiwa kwa sababu ya kupiga kelele kuhusu ushoga, mm sio shabiki wake lakini ukweli mkubwa ndio huo, sio kila anaezuiliwa kuingia us ni muovu, mara nyingi marekani anaangalia maslah yake
Kwa hiyo bashite sio muovu? Bashite kazuiwa sababu ya kuzurumu watu haki ya kuishi mataga ndo mkaja na gia ya ushoga ili kumtetea.
 
Nafkiri kuna day aliongea kutoruhusu ushoga na kuwatisha mashoga, hapo ubalozi wa marekani ukazipata hizo taarifa baada ya watu wengi kwenda kuomba viza za ukimbizi ktk ubalozi huo ili wakaishi marekani

Ndo Pompeo alitoa sababu hiyo?! Au unaleta hapa sababu za mataga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…