Marekani yateka silaha za Iran wakipelekewa wanamgambo wa Houthi

Hapo marekani hawezi hata kuww karibu kwa kuwa anajua kitakacho moata costal yote ya bahari hawwzi hata kunusa
ila waislan nan kawaroga ? mmekuw wajinga sana , hv huyo Iran plus shosti zake wa hapo mashariki wanaeza simama na USA ? hofu ya USA ni China na Russia tu , mkiona yupo kimya haimaanish hao mbuz wanaeza ongea akiwamulia
 
Marekani na Uingereza wapuuzi sana walosema iraq ina silaha za sumu wakiachiwa hata mwezi wanaangamiza dunia wakaivamia Iraq na kumuwa Saddam Hussein, bure na silaha hazikupatikana.
kwahiyo sasa Iran anasingiziw kufadhiri ugaidi wa houth ?
 
leo hamuwaamin wkt siku kadhaa ulikuwa unawasifia wahouth , hv waislam nan kawaroga asee ? mnaa akili ndogo sana
 
Siraha mbona zinawfikia vizuri sana israel hata shinda .ukiongea hivi unakuwa sawa ni vita ya kuchukua ardhi kionezi usilete dini.
 
Naona wamepiga missile Yemen kumtishia muiran kuwa they mean bussines nayeye muiran kapiga precise guided missile 1200km na bila kumiss kuwaonyesha kama mkileta vita hapa kwetu miji yenu itachapika kwa kuwa hizo missile zikiwa kwenye meli au submarine hakuna namna miji ya UK itasalimika kama atapeleka mtiti kwa wairan hii
Wakunje jamvi wakae chini wapalestine walazimishwe two state solution na waisreal walazimishwe kukubali maana kama ni vita wote wamejiandaa na wote vichaa basi wafanye respectively dialogue wayamalize wote watemi dunia imeona inatosha.
 
kwahiyo sasa Iran anasingiziw kufadhiri ugaidi wa houth ?
Unashangaza sana umekuwa mjinga kiasi hicho propaganda za kipuuzi unakuja nazo hapa eti Yemen magaid.

Wahouthi wa
Yemeni wamefanya mashambulizi kadhaa kwenye meli za Israeli bila kua mtu yevote wanachotaka Israel na Marekani waache kuuwa raia wasiyokuwa na hatia watoto zaidi ya 9000 huyu anayetea mauaju yasitokee anaitwa gaidi lakini Israeli ambayo imeua watu zaidi ya elfu 30, na bwana yake Marekani wanaitwa wapenda haki.

Unamkuta kijana kama wewe kutoka Maji Matitu anajifanya Muisrel mweusi naye anawaita Yemen magaidi.
 
Magaidi dawa yao kifo tu. Ningekuwa mimi ninge defuse mabomu yote halafu nawapelekea huko Yemen vife vyote.
 
Magaidi dawa yao kifo tu. Ningekuwa mimi ninge defuse mabomu yote halafu nawapelekea huko Yemen vife vyote.
Kwenu hamna mtu aliyekufa? Au wewe utaishi milee? Wote waliokufa ni magaidi daaah akili za matakoni hizo hatari sana.
 
Kwenu hamna mtu aliyekufa? Au wewe utaishi milee? Wote waliokufa ni magaidi daaah akili za matakoni hizo hatari sana.
Kwa hiyo wewe ndio gaidi.😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…