Marekani Yatishia Kujiondoa Kwenye Mazungumzo Ya Amani Ya Ukraine Na Urusi

henry frank

Senior Member
Joined
Dec 16, 2015
Posts
127
Reaction score
114
Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi ndani ya siku chache zijazo endapo hakutakuwa na dalili za wazi za kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Urusi ilianzisha uvamizi wa moja kwa moja dhidi ya Ukraine mwaka 2022, na imeweka masharti kadhaa kuhusu uwezekano wa kumaliza vita hivyo.

Ingawa serikali ya Trump ilionyesha matumaini mwanzoni kwamba ingeweza kusaidia kufanikisha makubaliano ya haraka, juhudi za kufikia usitishaji wa mapigano bado hazijafanikiwa, huku Washington ikilaumu pande zote mbili kwa kukwamisha mchakato wa amani.

=======================================================
Donald Trump has said the US is ready to “take a pass” on brokering a peace agreement between Russia and Ukraine unless a settlement is reached “very shortly”, as Kyiv announced it has signed a memorandum with the US over a controversial minerals deal.

“Now if for some reason one of the two parties makes it very difficult, we’re just going to say: ‘You’re foolish. You’re fools. You’re horrible people’ – and we’re going to just take a pass,” Trump told reporters in Washington. “But hopefully we won’t have to do that.”

Trump declined to give a “specific number of days” for when the US would stop trying to negotiate a truce. “But quickly. We want to get it done.”

Asked whether he was being “played” by Putin, Trump said: “Nobody’s playing me, I’m trying to help.”

Trump’s comments came after the US secretary of state, Marco Rubio said the US was ready to abandon its efforts “within days.

Speaking in Paris on Friday after meeting European and Ukrainian leaders, Rubio said Trump was still interested in a deal. But he added that the US president had many other priorities around the world and was willing to “move on” unless there were signs of progress.

Source: The Guardian
 
Kwan nani aliingiza usa hapo si aliingia mwenyewe kwa mbwembwe kuwa biden ndo alizembea sasa huo mfupa waendelee nao
 
Hata Marekani ikikaa pembeni nchi zingine za Nato kama UK, France na Germany bado zina nguvu kubwa ya kuweza kabisa kuigaraliza Russia hivyo kama hawatahusishwa kwenye mpango wa kumaliza vita basi vita havitaisha.

Kosa kubwa alilofanya Trump ni kufikiria kwamba Marekani tu ndio ina uwezo wa kuvimaliza hivyo vita pasipo kuwashirikisha washirika wake wengine kitu ambacho sio kweli kabisa.

Sasa hivi mataifa ya Ulaya yanapanga kuipa Ukraine msaada wa zaidi ya dola bilioni 20 ili iendelee na vita vyake dhidi ya Russia.
 
Kwani mpaka sasa wakiwa pamoja na Marekani wameshapeleka dollars bilioni mia ngapi na zimesaidia nini? Hivi unafikiriria kwa kutumia nini mkuu

Kwahiyo tuseme hizi kidogo walizoongeza zitawarudisha warusi nyuma sio 😁
 
Hata Marekani ikikaa pembeni nchi zingine za Nato kama UK, France na Germany bado zina nguvu kubwa ya kuweza kabisa kuigaraliza Russia hivyo kama hawatahusishwa kwenye mpango wa kumaliza vita basi vita havitaisha.

Kosa kubwa alilofanya Trump ni kufikiria kwamba Marekani tu ndio ina uwezo wa kuvimaliza hivyo vita pasipo kuwashirikisha washirika wake wengine kitu ambacho sio kweli kabisa.

Sasa hivi mataifa ya Ulaya yanapanga kuipa Ukraine msaada wa zaidi ya dola bilioni 20 ili iendelee na vita vyake dhidi ya Russia.
Bila shaka unatumia matako kufikiri badala ya kichwa, mpaka sasa Ukraine imesha pokea misaada ya mamia ya mabilion ya $ na bado hawajaizuia Urusi hizo bilion 20 ndo zitasaidia nn?
Marekani iliikatia Ukraine msaada wa taarifa za Intelegensia kwa masaa 72 tu wakapata kipigo kikali na kufurushwa ndani ya Kursk alafu ww umekalia kuongea ngonjera ili kujifariji?
 
Trump tapeli, alisema atamaliza vita ya Ukraine "on day one", kumbe Putin anamuona boya tu.
 
Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi ndani ya siku chache zijazo endapo hakutakuwa na dalili za wazi za kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Urusi ilianzisha uvamizi wa moja kwa moja dhidi ya Ukraine mwaka 2022, na imeweka masharti kadhaa kuhusu uwezekano wa kumaliza vita hivyo.

Ingawa serikali ya Trump ilionyesha matumaini mwanzoni kwamba ingeweza kusaidia kufanikisha makubaliano ya haraka, juhudi za kufikia usitishaji wa mapigano bado hazijafanikiwa, huku Washington ikilaumu pande zote mbili kwa kukwamisha mchakato wa amani.

=======================================================
Donald Trump has said the US is ready to “take a pass” on brokering a peace agreement between Russia and Ukraine unless a settlement is reached “very shortly”, as Kyiv announced it has signed a memorandum with the US over a controversial minerals deal.

“Now if for some reason one of the two parties makes it very difficult, we’re just going to say: ‘You’re foolish. You’re fools. You’re horrible people’ – and we’re going to just take a pass,” Trump told reporters in Washington. “But hopefully we won’t have to do that.”

Trump declined to give a “specific number of days” for when the US would stop trying to negotiate a truce. “But quickly. We want to get it done.”

Asked whether he was being “played” by Putin, Trump said: “Nobody’s playing me, I’m trying to help.”

Trump’s comments came after the US secretary of state, Marco Rubio said the US was ready to abandon its efforts “within days.

Speaking in Paris on Friday after meeting European and Ukrainian leaders, Rubio said Trump was still interested in a deal. But he added that the US president had many other priorities around the world and was willing to “move on” unless there were signs of progress.

Source: The Guardian
Trump aliahidi kumaliza hii vita ndani ya siku chache tu.

Naona Sasa katambua sio rahisi kama alivyodhani.

Yoda Drifter
 
Hata Marekani ikikaa pembeni nchi zingine za Nato kama UK, France na Germany bado zina nguvu kubwa ya kuweza kabisa kuigaraliza Russia hivyo kama hawatahusishwa kwenye mpango wa kumaliza vita basi vita havitaisha.

Kosa kubwa alilofanya Trump ni kufikiria kwamba Marekani tu ndio ina uwezo wa kuvimaliza hivyo vita pasipo kuwashirikisha washirika wake wengine kitu ambacho sio kweli kabisa.

Sasa hivi mataifa ya Ulaya yanapanga kuipa Ukraine msaada wa zaidi ya dola bilioni 20 ili iendelee na vita vyake dhidi ya Russia.
Hao uliowasema hawana ubavu wa kupambana na Russia
 
Back
Top Bottom