Marekani Yatishia Kujiondoa Kwenye Mazungumzo Ya Amani Ya Ukraine Na Urusi

Hata Marekani ikikaa pembeni nchi zingine za Nato kama UK, France na Germany bado zina nguvu kubwa ya kuweza kabisa kuigaraliza Russia hivyo kama hawatahusishwa kwenye mpango wa kumaliza vita basi vita havitaisha.

Kosa kubwa alilofanya Trump ni kufikiria kwamba Marekani tu ndio ina uwezo wa kuvimaliza hivyo vita pasipo kuwashirikisha washirika wake wengine kitu ambacho sio kweli kabisa.

Sasa hivi mataifa ya Ulaya yanapanga kuipa Ukraine msaada wa zaidi ya dola bilioni 20 ili iendelee na vita vyake dhidi ya Russia.
Unajifariji wakati watu wakiokotezana na kuchanga wanapeleka vimisaada havifiki hata robo ya msaada wa USA😄

In short hapo ni ngoma itaendelea mpaka nyuklia zipigwe full stop
 
Hii vita itamalizwa na nyuklia TU toka Russia basi, sometimes inabidi ubinadamu ukae pembeni ili kumaliza mambo kama haya.Hata USA aliipiga hii na Japan waliokua wanajeuri Waka surrender,Kwa Sasa Wacha waendelee kuchokoana chokoana maana kila mtu hataki kukubaliana na matakwa ya mwenzake
 
Kama yapo mataifa ya Nato ambayo bado yataendelea kuisaidia Ukraine kamwe Russia hawataweza kushinda vita na kukaa kwa amani kwenye maeneo wanayo shikilia ya Ukraine.
 
Kwani mpaka sasa wakiwa pamoja na Marekani wameshapeleka dollars bilioni mia ngapi na zimesaidia nini? Hivi unafikiriria kwa kutumia nini mkuu

Kwahiyo tuseme hizi kidogo walizoongeza zitawarudisha warusi nyuma sio 😁
Bila Russia kuongea na mataifa ya Ulaya vita havitaisha.
 
Visipoisha nani anapoteza zaidi?
Right now Russia is on a war budget in which the country is using 40% of its national budget to finance its war with Ukraine.

This simply means that during this time of war Russia will not achieve any meaningful development because much of its badly needed resources will be channelled to fund the war endeavours.

Needless to say, this will also have a negative impact on the overall performance of the Russian economy which will likely plummet. It's obvious that no country can be at war and its economy remain strong, and Russia cannot be an exception.
 
Hata Marekani ikikaa pembeni nchi zingine za Nato kama UK, France na Germany bado zina nguvu kubwa ya kuweza kabisa kuigaraliza Russia hivyo kama hawatahusishwa kwenye mpango wa kumaliza vita basi vita havitaisha.

Kosa kubwa alilofanya Trump ni kufikiria kwamba Marekani tu ndio ina uwezo wa kuvimaliza hivyo vita pasipo kuwashirikisha washirika wake wengine kitu ambacho sio kweli kabisa.

Sasa hivi mataifa ya Ulaya yanapanga kuipa Ukraine msaada wa zaidi ya dola bilioni 20 ili iendelee na vita vyake dhidi ya Russia.
Ulaya bila Marekani hata Bangladesh anaweza kuwapelekesha
 
Right now Russia is on a war budget in which the country is using 40% of its national budget to finance its war with Ukraine.

This simply means that during this time of war Russia will not achieve any meaningful development because much of its badly needed resources will be channelled to fund the war endeavours.

Needless to say, this will also have a negative impact on the overall performance of the Russian economy which will likely plummet. It's obvious that no country can be at war and its economy remain strong, and Russia cannot be an exception.
Haya na kwa nchi za ulaya tuambie huko pandaendaje ....maana hao jamaa hata hizo senti tu za kufadhili vita hawana, Trump anawaambia waongeze mchango wao NATO wanabaki kujichekesha kama mlupo anaesaka mteja.......bora mwenye bajeti ya vita kuliko ambaye hana kabisa anategemea mfadhili mkuu afanye jambo.....na mfadhili mkuu ameshaanza kususa
 
Ulaya bila Marekani hata Bangladesh anaweza kuwapelekesha
Jihadists akili ndogo sana mara Marekani bila Ulaya hana lolote mara Ulaya bila Marekani ni weupe. Hamna maana kabisa.
 
Takbiiiirrrr wamagharibi andaeni pampers za kutosha nondo bando zitaendelea kuwashukia.....acha jamaa yenu achange visenti maana hawezi kwenda kupigana front 2 lazima aachie 1
 
Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi ndani ya siku chache zijazo endapo hakutakuwa na dalili za wazi za kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Urusi ilianzisha uvamizi wa moja kwa moja dhidi ya Ukraine mwaka 2022, na imeweka masharti kadhaa kuhusu uwezekano wa kumaliza vita hivyo.

Ingawa serikali ya Trump ilionyesha matumaini mwanzoni kwamba ingeweza kusaidia kufanikisha makubaliano ya haraka, juhudi za kufikia usitishaji wa mapigano bado hazijafanikiwa, huku Washington ikilaumu pande zote mbili kwa kukwamisha mchakato wa amani.

=======================================================
Donald Trump has said the US is ready to “take a pass” on brokering a peace agreement between Russia and Ukraine unless a settlement is reached “very shortly”, as Kyiv announced it has signed a memorandum with the US over a controversial minerals deal.

“Now if for some reason one of the two parties makes it very difficult, we’re just going to say: ‘You’re foolish. You’re fools. You’re horrible people’ – and we’re going to just take a pass,” Trump told reporters in Washington. “But hopefully we won’t have to do that.”

Trump declined to give a “specific number of days” for when the US would stop trying to negotiate a truce. “But quickly. We want to get it done.”

Asked whether he was being “played” by Putin, Trump said: “Nobody’s playing me, I’m trying to help.”

Trump’s comments came after the US secretary of state, Marco Rubio said the US was ready to abandon its efforts “within days.

Speaking in Paris on Friday after meeting European and Ukrainian leaders, Rubio said Trump was still interested in a deal. But he added that the US president had many other priorities around the world and was willing to “move on” unless there were signs of progress.

Source: The Guardian
Trump alisema akiingia madarakani ataumaliza mgogoro wa Russia na Ukraine kwa muda mfupi tu. Sasa kwanini analoloma tena?
 
Kazi imekua ngumu........sema jamaa anaweza akafanya kama alivyofanya Biden kule Afghanistan, anatoa majeshi anaiacha nchi kwa alie na nguvu, na huu mwanya ni baraka kwa Mrusi, Trump ana mpango wa kumalizana na Iran mashariki ya kati na nguvu kubwa anataka kuipeleka Israel, sasa huku Ukraine anaona wanampotezea muda na rasilimali za kupambana na Iran
 
Unachosema inawezekana. Lakini mambo kadhaa yanaweza kutokea;
  • Marekani akitoka atakosa moja kwa moja yale madini adimu yaliyopo Ukraine na ndio ambayo anayanyemelea.
  • Urusi inaweza ikaichukua Ukraine hivyo Marekani kuyakosa hayo madini tajwa hapo juu.
  • Nchi za Ulaya zinaweza zikaanzisha "full scale war" kumsaidia Ukraine na ikitokea wakashinda watabeba hayo madini adimu wao na Marekani atakosa.

Kwahiyo, kwa Marekani, njia bora ni kuisaidia Ukraine wanataka au hawataki maana watapoteza zaidi wakijiondoa!
 
nchi za ulaya haziwezi kupambana na mrusi bila msaada wa US,
umesikia wakiongelea coalition if the willing, na hapo wanasema bila security guarantee kutoka US hawataweza!

Ukraine mwenyewe anasema bila hakikisho la usalama toka US hapatakua na amani,...... yani EU pekee hawatoshi,

nchi za ulaya hata ziungane zote haziwezi kumdhibiti urusi bila msaada wa US, hili mbona wanakiri kila siku akina Macron,
 
Nafikiri kama umesoma na ukaelewa nilichoandika, basi tupo pamoja!
 
Hizi ni script from masjid ubwabwa.
 
Kwani mpaka sasa wakiwa pamoja na Marekani wameshapeleka dollars bilioni mia ngapi na zimesaidia nini? Hivi unafikiriria kwa kutumia nini mkuu

Kwahiyo tuseme hizi kidogo walizoongeza zitawarudisha warusi nyuma sio 😁
Huyo russia hakuwaza hata siku moja kuwa kuna nchi anaweza kupigana nayo mwaka wa 4 Sasa unakaribia. Kwa hiyo hiyo vita inaweza kufika hata miaka 10 usichukulie mambo kirahisi rahisi hivyo
 
Hata vikikaa miaka 50 kumbuka wote wanatumika.
 
Back
Top Bottom