Marekani Yatishia Kujiondoa Kwenye Mazungumzo Ya Amani Ya Ukraine Na Urusi

Hata vikikaa miaka 50 kumbuka wote wanatumika.
Unawaza Russia wakati anavamia Ukraine aliwaza Kama wewe vita itachukua mwaka wa nne unaenda?. Sembuse miaka 50 unavyotaka wewe?. Alichokiwaza kichwani kwake putin akijatokea mpaka Sasa. Alafu kipindi Ukraine hajaangamiza siraha za nyukilia mbona Russia ajamvamia.akatumia hao hao nchi za magharibi kuongea na Ukraine aangamize siraha zake yeye Russia atamlinda. Leo kamvamia.
 
Kwahiyo wewe unajua anachokiwaza Putin? Suala la silaha za nyuklia ilikua ni lazima Ukraine azirudishe Urusi ili apate uhuru
 
Kwahiyo wewe unajua anachokiwaza Putin? Suala la silaha za nyuklia ilikua ni lazima Ukraine azirudishe Urusi ili apate uhuru
Unawaza ingekuwa miaka yote hii?. Silaha zimeangamizwa kwa kuhusika kwa marekani France na UK kufanya ushawishi kuwa watawalinda na russia ni snichi akaja kuvamia
 
Unawaza ingekuwa miaka yote hii?. Silaha zimeangamizwa kwa kuhusika kwa marekani France na UK kufanya ushawishi kuwa watawalinda na russia ni snichi akaja kuvamia
Walivamiwa kwa kutoka nje ya mistari wwliyowekewa na baba yao.. acha wafinywe kidogo
 
Hahahaaaaa mjinga kweli wewe nimecheka kwa sauti kubwa peke yangu. Wafinywe siyo? Hahahaaaaaa
Wafinywe tu sababu hata wewe huwezi kumvumilia kijana wako ashirikiane na adui yako aliyekiri kwamba lazima akupoteze
 
Hawa USA ni wapuuzi sana. Yaan wao ndo waliosababisha hiyo vita, na haikutosha wakaichochea kwa kumpatia Ukraine kiburi kwa misaada ya silaha n.k, lengo lao likiwa ni kumpanikisha Urusi na kumshusha kiuchumi, sasa malengo yao hayajafanikiwa hata moja sasa hiv wanarudi kama watu wema kutaka vita vimalizike! Wakat huo wanataka vimalizie bado wanapeleka misaada ya silaha kwa Ukraine hiv hyo n akili kweli?.
Binafsi nachokiona hapo ili kuimaliza hyo vita ni wao umoja wa Nato wakate misaada ya silaha kwenda Ukraine, mbona Ukraine watanyoosha mikono juu bila kuambiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…