KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Jibu hoja wewe ngozi ya #%^$€¥!Sukuma gang bado mpo tu
Taarifa kama hizi ndo zinavunja moyo na ushabiki kwa viongozi wetu. Tumeona Chanjo imeshuka kwa maringo, wapokeaji wakivalia barakoa. NImeoneshwa kwamba tumeletewa Johnson & Johnson. Ndo nini sasa?
Hii ni chanjo iliyotuliwa mashaka siku nyingi na nchi nyingi kwa tatizo la damu kuganda. Yaani sisi ndo tumelewa hivo! Tuleteeni ain zote ili sisi tuchague kitanzi. Wanaotuletea, kwao wanachagua iweje sisi?
Kinachofanyika ni sawa na mtu mwenye allergy ya karanga halafu unaletewa chakula pekee chenye karanga wakati una njaa na kuambiwa unaweza kula kama unataka au usile!Lakini chanjo si ni hiari? Asiyetaka kuchanjwa na asichanjwe tu.
''tupo sana'', kwani kuna tatizo?Sukuma gang bado mpo tu
Nimeipenda hoja yako!Mkuu umegonga nondo za kutosha.
Cicero alisema - "The wise are instructed by reason ,average minds by experience, the stupid by neccesity and the brute by instinct"
Sijui tutakuwa wapi katika Hayo makundi manne
Huyo mtu hana uwezo wa kutafuta chakula kingine?Kinachofanyika ni sawa na mtu mwenye allergy ya karanga halafu unaletewa chakula pekee chenye karanga wakati una njaa na kuambiwa unaweza kula kama unataka au usile!
Ndicho ambacho serikali inafanya kwa sasa!
Chanjo ya Johnson and Johnson iliyopingwa Marekani na Ulaya kwa damu kuganda tumeletewa Tanzania. Tuchomwe tu maana damu zetu sisi weusi haina mfumo wa kuganda. Hata tukifa poa tu kwani niniMarekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.
Unampikia mwanao chakula hicho halafu unamwambia kama hataki atafute chakula kingine wakati hana uwezo wa kutafuta chakula kingine!Huyo mtu hana uwezo wa kutafuta chakula kingine?
Unalinganisha vitu ambavyo havilinganishiki!Unampikia mwanao chakula hicho halafu unamwambia kama hataki atafute chakula kingine wakati hana uwezo wa kutafuta chakula kingine!
Kwa nini usipike vyakula mbali mbali halafu umwambie achague anachopenda!
Nchi ambazo hiyo chanjo inatoka wananchi wake wamepikiwa vyakula mbali mbali(chanjo) na kuambiwa wachague wanachokipenda!
Chanjo zilizokosa wateja huko mbele ndio zinaletwa huku..Habari za jioni wakuu,
Serikali leo imepokea awamu ya kwanza ya chanjo ya kupambana na ugonjwa wa corona iliyowasili leo mchana.
Chanjo hiyo imewasili na kupokelewa na Waziri wa afya ndugu,Dkt Dorothy Gwajima.
Chanjo hiyo imewasili na ndege ya shirika la ndege la Emirates na kupokelewa mchana huu.
Jikinge, wakinge na wengine .
Corona inazuilika.View attachment 1866489View attachment 1866490
View attachment 1866495
Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.
Ha!!! Nilijua tu itakuwa Johson and Johson! Amkeni waafrika!Nasikia ni J&J
Ninalinganisha kama chakula kwa sababu kuna mataifa yanasema kama hujachanjwa huwezi kuingia katika nchi zao.Unalinganisha vitu ambavyo havilinganishiki!
Kwanza, chanjo si chakula. Chakula ni kitu essential kwa uhai.
Hivyo, chanjo ya Corona si essential kwa uhai. Unaweza usichanjwe na usife.
Huwezi kuishi bila chakula!
Linganisha vinavyolinganishika.