#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Huu sasa utani.
Wenyewe hii J & J waliisigisha baada ya kuwagandisha baadhi ya walengwa na baadaenkuirejesha.
Mbona wao kwao wametumia asilimia 90+ ya pfizer na Moderna wala sio hii!!??
Serikali ituambie wametumia kigezo gani kupokea hii na je wako tayari kudhibiti matatizo.
Tusizimishane bure!!
Waanze na wabunge wote na familia zao na mawaziri wote.
 
Excellent question Sir 👍🏽 Halafu hii efficiency yake ni ndogo ukilinganisha na Pfizer na Moderna na sasa hivi kuna tetesi kwamba kwa kuwa ni week basi kuwa na booster shot kwa wale wote waliopata chanjo hii. Baadhi waliitaka hii kwa sababu ni chanjo moja tu ukilinganisha na mbili za Pfizer na Moderna.
 
Wakikujibu unitag mkuu, Nchi jirani hapo kwa Mzee Hussein Mwinyi angalau wenyewe wanachoma ya mchina SINOVAC!
Wakuu ni aina gani ya chanjo tumeletewa kutoka marekani?Mbona imekua siri hawasemi?
 
Your browser is not able to display this video.

Bila shaka unamaanisha chanjo hizi!!
 
Wakikujibu unitag mkuu, Nchi jirani hapo kwa Mzee Hussein Mwinyi angalau wenyewe wanachoma ya mchina SINOVAC!
Chanjo angalau kiasi fulani ambayo itaku-spare ni ya Moderna,ingawa nayo inakufanya hatimaye kuwa Zombie.Africa nchi iliyochaguliwa kupata chanjo ya Moderna kama nakumbuka vizuri ni Rwanda.Rwanda imechaguliwa ku-provide serfs for the NWG.Chanjo ya Moderna wanasema itakukinga na ile variant mbaya itakayo letwa.Ambao watakataa hii chanjo ya sasa kimbunga cha kweli kinachokuja baadae kitawafuta hata wao.
 
Pale tulipigwa mkuu
Kwa hiyo hapa hamjapigwa dah!Kweli usichokijua ni usiku wa giza.Afadhali ile haikua na madhara,soma hii👇ni kilio dunia nzima kwa walio dungwa hiyo sumu.Sijui mmelogwa!?

Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them.​

Private group on Facebook “Covid19 Vaccine Victims & Families” group.​

48,635 members as of July 21.21
3 min video – injured people identify the vaxx company and their US location.
What will you do if presented with medical bills after treating adverse covid vaxx effects that can range up to $1 million? There’s no way most people can pay these outrageous bills Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them

Note: check with your insurance provider to see if you will be covered for any after injection adverse effects ..
Coup-vid injured facing $million medical bills.
Founder Robert Kennedy Jr. of Children’s Health Defense – The Defender – reports on 2 June 2021 about a 38-year-old woman, who nearly died after a J&J covid-vaccine. She suffered various organ failures. The woman was healthy until she received the J&J untested covid “vaccine”. Within a week, she started experiencing headaches, abdominal pain and nausea and was eventually diagnosed with severe blood clots that caused most of her vital organs to fail. Only intense medical treatment, 33 days of hospitalization, of which 22 days of intensive care, saved her life – and left her with a medical bill of over a US$ 1 million – for which nobody admits responsibility. See here. Source Covid: Threats, Vaccine Injuries and Deaths Abound | Dissident Voice
High school senior Emma Burkeyreceived the one-shot Johnson & Johnson (J&J) COVID vaccine April 1. Within two weeks she was placed in an induced coma. She underwent three brain surgeries after experiencing seizures and developing blood clots in her brain.
When Burkey was well enough to be transferred from the hospital to a rehabilitation center, her first round of bills totaled $513,000.
Hundreds Injured by COVID Vaccines Turn to




 
Yaani wewe unafurahia upuuzi wa kupewa misaada badala ya kujitutumua wenyewe kutengeneza hivyo vitu?

Unajua athari zake kwenye maisha yetu na vizazi vyetu mbeleni?
 
Yaani wewe unafurahia upuuzi wa kupewa misaada badala ya kujitutumua wenyewe kutengeneza hivyo vitu?

Unajua athari zake kwenye maisha yetu na vizazi vyetu mbeleni?
Mkuu hao ni watu wao,wanawahasisha mkadungwe,
they are part of the "signature reduction,the USs' vast covert army of 60,000+.
 
Chadema ni mawakala wa mabeberu. Tanzania inepokea chanjo 1m kutoka kwa mabeberu kwahio if CHADEMA = Mabeberu then CHADEMA ni Mabeberu therefore, Mabeberu Chadema wamewapatia Watanzania Dozi 1m ili wasife kwa ujinga wao.

Conclusively, Chadema wanawapenda zaidi Watanzania. Only wenye brain ndio wanaweza kuelewa
 

Sasa ile vita vya kiuchumi tulikuwa tunapigwa je? Waliokuwa wanatuhamasisha chanjo si bure wako wapi?

Asante sana beberu wewe ni mwema sana kuliko ndugu zetu wengi wenye machozi mengi kumbe ni mamba wala watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…