#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Safi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua
Hizo chanjo wachanjwe chadema wote kwanza.
Yaani weee kila kitu ni mbowe tu, sasa hii habari , Mbowe anahusika vipi?!!huyo Gwajima ni chadema!!yaani akili za viumbe weusi bwana ni tabu tupu una kuwa kama roboti kuwa umesetiwa kuwa kila ukionacho ni mbowe tu, hadi usetiwe tena?!hata saa mbovu wakati mwingine inapatia majira!!
 
Kwa hiyo kama mimi sili dagaa, siruhusiwi kutoa zawadi ya dagaa kwa mtu anaehitaji.
 
Ingawa mimi si muumini wa chanjo yoyote, ila siku si nyingi mkuu wako alishauri eti chanjo iwe lazima na hata baadhi ya BAVICHA huwa wanadai chanjo ziletwe wao wakachanje maana wao sio Sukuma Gang. Chanjo zimeletwa mnaiponda tena CCM,nikuulize sasa mnataka chanjo au hamtaki? Na kama mnataka nendeni mkachanje maadam zimetoka kwa mabwana wenu mnaowaamini kwa kila kitu.

Ubaya wenu mmejaa sana Unafiki, chanjo mlikuwa mnazitaka tena wengine mkidai kuwa hazitakuwa hata kuchunguzwa kwakua wazungu walitaka kutumaliza wanaweza kwa njia nyingi, haya leo zimekuwa za CCM tena?Nenda kachaje,sisi Sukuma gang tunawachora tu😂😂
 
Nina rafiki zangu wamarekani wamekuja hapa two weeks ago kikazi.Wao walishachanjwa huko kwao.
Nimewaambia kuhusu hii chanjo ya Johnson wametahamaki vibaya na wameniambia nisithubutu kusogeza bega langu!Nisubiri chanjo nyingine.Mimi nimeamua kuwasikiliza.Sichwanjwi Johnson &Jonhson
 
Hongera
 
Aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…