#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

100

Unajielewa mkuu..Yaani mi nashangaa kila mtu anasingizia eti anasikia watu wanakufa..wanaokufa ni kina nani? Mtaani kwako majirani hawajafa, wafanyakazi wenzio hawajafa, ndugu 'ako hawajafa na kama hao kuna mtu kafa sio kwa corona. So who is dying???. Na watu wamefika kipinsi wanajidai kama vile vifo havikuwahi kuwepo kabla ya corona. Watu walikuwa wanakufa na wataendelea kufa kwa magonjwa tofauti tofauti pamoja na ajali. Hii corona kweli inaua lakini si kwa kiwango na speed ambayo wauza chanjo na madalali wao wanataka tuamini. Corona is survival of the fittest..ikikuta afya ilikuwa mgogoro itakubeba tu..So watu walokufa kqa corona walikufa kwa sababu tayari walikuwa na magonjwa mengine ambayo tanawafanya wasiweze kupambana na corona. Na ndio maana wengi sana wamekufa ulaya kwa sababu ya high life expectancy ambayo inafanya wazee wawepo wengi sana. Huku sie tunajifiaga mapema tu mjini wazee wachache sana..na walip vijijini kinga zao ziko vizuri mno
Mimi sijawahi kufiwa na mtu yeyote ninayemjua kutokana na hiyo corona!

Mawakala wa mabeberu wako mitandaoni humu kupika uongo na kujaza watu hofu.
 
Mlikuwa mnadanganjwa tu na JPM na kundi lake.Mbona hakukataa ARV za bure kwa watanzania 2m plus wanaopata hizo dawa bure for the past 6yrs.Dose mora ya mwezi ni kati ya Tzs 350,000 to 700,000 za watoto ni ghali zaidi.Acheni unafiki.Yaani jirani yako anakingi mpaka anazasa akikupa kukusaidia basi ni mbaya .Unless wewe ni shetani. Dini zote zinahubiri utoaji ,saidianeni,pendaneni nk.JPM na kundi lake wako.busy kuhakikisha watu wanateseka.Tilichanga fedha za maafa ,wakasema za miundombinu yaani aliwapandikiza roho ya kisadisti wafuasi wake ,ndio maana alikufa tu no way.Samia kasema chanjo ni hiari
Hakukataa chanjo wala madawa ya magonjwa yote. Ndio sababu ndiye rais aliyejenga hospital nyingi zaidi za wilaya tangu uhuru. Alichokataa ni chanjo ya korona sababu ya uchache wa mda uliotumika kuivumbua hakuna clinical trials za kutosha kujua long term effects.
 
Badala ya kumwacha JPM apumzike kwa amani wewe unaokuja hapa na post zako za kijinga.

Watu wanapukutuka kwa korona kila mahali Tanzania na Duniani kwa ujumla wewe unakuja hapa na mizaha yako.

Kwa viwango vyovyote wewe ni mtu mjinga tu. Kama unamilki familia,hiyo familia ina hasara kubwa.
Kauli ya watu kupukutika ni kauli nzito sana mkuu.
 
Yaani nyie wakenya na wanyasa mbataka sisi waTanzania tusivae barakoa na walla tusichanjwre ili tufe kama inzi adi tuishe????? hahahaaa hakika hilo ni dua la kuku kamwe halimpati mwewe.........,,,, kuchanja tuta chanja na tutaendelea kubaa barakoa over!
 
Naam na Tanzania yenye tozo za miamala iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni nayo inawezekana.
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kati ya mambo yanayonifurahisha katika hili igizo zima la UVIKO-19, ni kuona watanzania wameyapuuza mabarakoa na machanjo ya mabeberu.

Hii inathibitisha KWAMBA, UVIKO-19 ni igizo lililokosa wateja Tanzania, NA KWAMBA, uelewa wa watanzania kuhusu UVIKO uko katika viwango vya elimu ya juu — Hawababaishwi na maigizo.

Achana na hawa madalali wa chanjo wanaoposti majeneza yenye mchanga. Hao nao walishapuuzwa pia, wamebaki kuhaha tu hawajui wataambia nini wazungu baada ya kutafuna mapesa yao ya misaada.

Ukweli ni kwamba, watanzania walimuelewa vyema Jemedari Chuma John Pombe Joseph Magufuli. Walishamaliza na kufunga jalada. Wako bize wanachapa kazi [emoji818][emoji818][emoji818]

Mengine yote yanayoendelea kwa sasa ni maigizo ya futuhi tu. Tulishamalizana na hizo habari toka kitambo.

Tunadunda tu. Mabarakoa na machanjo uchwara tupa kule.

Hongera JPM, hongera watanzania.
 
Unakuta anaandika uzi huu akiwa kwenye foleni ya kwenda kudungwa chanjo ya msaada iliyopokelewa na Waziri gwajima.
 
100

Unajielewa mkuu..Yaani mi nashangaa kila mtu anasingizia eti anasikia watu wanakufa..wanaokufa ni kina nani? Mtaani kwako majirani hawajafa, wafanyakazi wenzio hawajafa, ndugu 'ako hawajafa na kama hao kuna mtu kafa sio kwa corona. So who is dying???. Na watu wamefika kipinsi wanajidai kama vile vifo havikuwahi kuwepo kabla ya corona. Watu walikuwa wanakufa na wataendelea kufa kwa magonjwa tofauti tofauti pamoja na ajali. Hii corona kweli inaua lakini si kwa kiwango na speed ambayo wauza chanjo na madalali wao wanataka tuamini. Corona is survival of the fittest..ikikuta afya ilikuwa mgogoro itakubeba tu..So watu walokufa kqa corona walikufa kwa sababu tayari walikuwa na magonjwa mengine ambayo tanawafanya wasiweze kupambana na corona. Na ndio maana wengi sana wamekufa ulaya kwa sababu ya high life expectancy ambayo inafanya wazee wawepo wengi sana. Huku sie tunajifiaga mapema tu mjini wazee wachache sana..na walip vijijini kinga zao ziko vizuri mno

You are not tough lady but just an empty-skull lady! Unatumia uwepo wa sababu nyingine za vifo kuidogosha corona!!?? Hicho kiwango unachosema ni kidogo unatumia taarifa gani kukuchambua? Wewe unajua kila kifo kinachotokea Tz na kusema ni cha corona au la?

Nimekuita empty-skull kwa sababu hii. Data is objective n analysis is subjective. Kukosekana kwa mfu wa corona mtaani kwako au kazini haimaanishi hakuna watu wanaokufa kwayo. Unajaribu kulinganisha data za vifo na wagonjwa kutoka katika nchi zinatoa data dhidi ya yetu isiyotoa na kusema sis wanakufa wachache?! So uneducated-like!!

Maisha yana thamani sana, tuna wajibu wa kuokoa maisha - hata kama ni ya mtu MMOJA. Wewe unayetaka tuanze kuokoa wakiwa wengi ni mpumbavu tu. I lost my mama to covid, ninaumia kuona kuna aina yako ya binadamu. This world deserve a better person than you, kwa hakika. Inahitaji mtu anayeona kifo cha mtu mmoja kama ni bundle of love less on the planet.

I actually think you have an ugly face. Roho yako inaakisi sura yako.[emoji23][emoji23]
 
Yaani wewe unafurahia upuuzi wa kupewa misaada badala ya kujitutumua wenyewe kutengeneza hivyo vitu?

Unajua athari zake kwenye maisha yetu na vizazi vyetu mbeleni?
Sifurahiii hata kidogo kupokea misaada,ila pia nazishukuru jumuia za kimataifa zinazotupa huo msaada,sababu siyo wajibu wao ni umaskini wetu na njaa zetu.so tuendelee kuwashukuru kwa sababu bado hatuna uwezo wa kujitosheleza.Huwezi endelea kumbeza jirani wakati kila siku ndiyo anayekusitiri kuitunza familia yako isife njaa.Kataa msaada wake ili familia yako ife njaa
 
Mkuu Kama hujafiwa na ndugu,jirani au Mfanya kazi mwenzio mshukuru Mungu ila usiwatoneshe watu vidonda vya maumivu kwa wengine!
Ni sahihi kusema tunapukutika kwa corona?
 
Mtoa mada umeandika uzi mzuri sana, nimeupenda bure uzi huu, tena kama vipi hayo machanjo wapeleke tu huko incineration yakachomwe moto
 
Yaani nyie wakenya na wanyasa mbataka sisi waTanzania tusivae barakoa na walla tusichanjwre ili tufe kama inzi adi tuishe????? hahahaaa hakika hilo ni dua la kuku kamwe halimpati mwewe.........,,,, kuchanja tuta chanja na tutaendelea kubaa barakoa over!
Ah wapiii wewe.... hebu pita mtaani uone kama kuna mtu anavaa hayo mabarakoa!!
 
Back
Top Bottom