Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Ndio.Naam na Tanzania yenye tozo za miamala iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni nayo inawezekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.Naam na Tanzania yenye tozo za miamala iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni nayo inawezekana.
Acha kuota. Amka usije kunyea godoro.Unakuta anaandika uzi huu akiwa kwenye foleni ya kwenda kudungwa chanjo ya msaada iliyopokelewa na Waziri gwajima.
Acha vitisho uchwara!Uzuri ni kwamba ukifa niwewe na familia yako
Ndio.
Huna lolote wewe wakala wa chanjoSiwezi kupoteza muda kumwelewesha mtu mjinga. Kwa heri. Endelea na wajinga wenzio kwenye thread yako....kama wapo!
Hutaki ninunue?Naona umenunua bando sasa. Karibu...
Yaani Serikali ya CCM imepokea chanjo toka kwa mabeberu?Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.
Umeambiwa ni hiyari. Kama huoni haja waachie wanaona haja.Kuna haja gani ya kupokea chanjo ambazo wazungu wenyewe wamezichoma na bado kirusi kinawaua????
Washataja hospitali?Binafsi J.tatu mapema natiga hospitali kupata chanjo.
www.forbes.com
Weka ukweli, mbona makasiriko??Acha uongo wako wewe! Chanjo ya Johnson & Johnson haijapigwa marufuku Marekani.
Uzushi uzushi tu ndo mliobaki nao.
Achana na wajinga !Acha uongo wako wewe! Chanjo ya Johnson & Johnson haijapigwa marufuku Marekani.
Uzushi uzushi tu ndo mliobaki nao.
Acha uongo wako wewe! Chanjo ya Johnson & Johnson haijapigwa marufuku Marekani.
Uzushi uzushi tu ndo mliobaki nao.
www.forbes.com
Magaidi Chadema wakipokea Chanjo ya Johnson & JohnsonSafi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua
Hizo chanjo wachanjwe chadema wote kwanza.