#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika

Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.

Yaani Serikali ya CCM imepokea chanjo toka kwa mabeberu?
 
Waswahili wanasema, ukiwa mjanja sana jitahidi usiwe limbukeni. Serikali ya Wanyonge walijifanya hawataki Chanjo, sasa ubishi wao wamejikuta wanapokea Chanjo ambayo nchi nyingine kama US waliipiga marufuku.

ujanja mwingi kumbe hamna kitu


IMG-20210725-WA0082.jpg


IMG-20210725-WA0090.jpg


IMG-20210725-WA0089.jpg
 
Back
Top Bottom