Marekani yatoa 'Ujumbe wa faragha' kwa Iran baada ya shambulizi Yemen

Marekani yatoa 'Ujumbe wa faragha' kwa Iran baada ya shambulizi Yemen

[emoji1] Sa America mbona kelele nyingi we pitisha meli hapo Red Sea mimi naona America kama mbwa koko kazi kubweka tu.

Ameanza vizuri kapiga Yemen, sa siaendelee tu, kwani alipo ambiwa kwanza Yemen ukienda kichwa kichwa utajikuta huna kichwa si alijifanya nunda.

S a kelele za nini tunataka apitishe meli zilizo kwama Djibouti kama Yeye ni Mwanaume.
Poor u
 
Back
Top Bottom