Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

Wavaa makobazi hamuwezi kunielewa 😂
Na wewe mlaaniwa "mbeba msalaba" huwezi kunielewa. Crusaders na jews wanajua kuwa hakuna utawala tishio kama utawala wa kiislamu hapa duniani. Kwasasa hakuna taifa la kiislam kwasababu watawala wa hizi ardhi za waislam wameitupa Quran nyuma ya migongo yao na kuamua kuwa vibaraka wa crusaders na jews.

Ila ogopa sana siku utakapoona waislam wamerudi kushikamana na Quran. Hizo tawala zenu za kizayuni zitaanguka kama zilivyoanguka dola za Roma na persia.

Uislam ulitawala iberian peninsula ( hispania na ureno) na kufika mpaka china. Na ipo siku Uislam utarudi tena kuitawala hii dunia.
 
😂😂 Bado hujasema
 
Wakizima nyuklia za Mrusi, Kiduku na Irani naomba mni-tag ili niwaamini Wamarekani.
Hata wakati technology ya Nyukilia, wapo waliohoji kama wewe Mkuu, lakini ni kweli kwamba nyukilia ilikuwa imeshaundwa kwelikweli
 
Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na vifaa vya nyuklia."

Hayo ni maneno kata kwenye kanga yapo ikiwa yeye ni kidume amwambie demu wake alianzishe
 
Akiangamiza chini ya ardhi anapigwa juu ya ardhi kwahiyo hakuna alichofanya labda aangamize isifahamike na kutofahamika ni kitu kisichowezekana.
 
Huu ni mkwara tu, inawezekana ndio kwanza wanajenga huo uwezo au wako katika majaribio ila bado programme haijakamilika
 
UFANISI wa Silaha sio Mitandaoni bali ktk ground, jiulize ziliwahi tumika wapi kwa majaribio na kuonyesha ufanisi
?
Hilo ni la msingi sana. Inaonekana huku mitandaoni kuna silaha nyingi na kali sana zaidi ya zile zilizopo katika uhalisia wake.
 
Back
Top Bottom