Marekani yawaonya Raia kwenda Kenya sababu ya COVD19

Dunia hii huwa tunaonana takataka kulingana na hadhi yako kiuchumi, ukiwa maskini unadharauliwa tu, uwe mzungu au mweusi, hata wazungu kunao huonwa wa hovyoo, na huku pia nchi yako ikiwa nyumi kiuchumi tunaidharau.....
Sasa mbona nyinyi hakuna wazungu mnaowadharau mnafeli wapi?
 
Mabeberu kama kitu ambacho sijawaelew ndiyo hiki hapa, mnawakataza watu wenu wasiende kenya wakati wenyewe wanawapenda kuliko wanavyojipenda wenyewe halafu mna washit bila chenga.
 

Lugha ya kingereza ndio mpango mzima dunia hii, nyie imewashnda kwa sababu mnafahamika mpo wazembe wa kutupwa, mnahangaika kuisomea shuleni ila inawapiga chenga. Leo hii kila jamii hata kue kwa Wachina mpaka Urusi wanajifunza kingereza maana hakikwepeki, hapo Dar kuna English medium za wenye hela ambapo watoto wao wanakwenda kufundishwa kingereza kisa matangazo ya ajira yanatangazwa na mojawapo wa sifa za wanaotakiwa kuomba lazima wawe wanaongea kingereza, sasa nyie wa saint kayumba msiojua hata salamu kwa kingereza mnaachwa nje, watoto wa mabwenyenye ndio wanaishia kuajiriwa.

Soma hili tangazo utajua kwanini wanatafutwa watu waliosomea Kenya, mnaachwa nyie watu wa Buza

 
Mabeberu kama kitu ambacho sijawaelew ndiyo hiki hapa, mnawakataza watu wenu wasiende kenya wakati wenyewe wanawapenda kuliko wanavyojipenda wenyewe halafu mna washit bila chenga.
Hahaha, kaazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…